Recent content by MWEBRANIA HALISI

  1. M

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Mimi nadhani dhambi haiwezi kuondolewa kwa kufunikwa bali ni kwa kuitubia na kuwa na nia ya dhati ya kutoirudia. Kutoonyesha Bunge "live" hakuwezi reta heshima ya bunge, bali ni kuzuia haki ya wananchi kupata habari kwa manufaa ya watu wachache wanaojilinda maovu yao kwa kisingizio kama hicho...
  2. M

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    MI napenda sana hicho kilimo na drip irrigation, niambieni inakuwaje? kuhusu gharama za uendeshaji wa shamba kwa heka ni kiasi gani? mashamba yanapatikana wapi, na masoko yake yakoje? simu yangu ni 0768 417121, na 0713 658618 ni mgeni sana kwenye mtandao naomba msaada wenu.
Back
Top Bottom