Recent content by mwatimagha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi italipasua Taifa

    Kumbuka sharia inasema hukumu ya mzinifu ni kupigwa mawe mpaka afe na mwizi ni kukatwa mkono.so kama mahakama ya kadhi haita fuata sheria aliyo iweka allah! Huoni kama itakuwa ni kukiuka amri ya allah? Nanaomba unielimishe kwa wazinifu na waizi au sharia itapindishwa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

    Magufuli????? Bora basi ya fisadi lowasa .lakin huyu yeye anafuata sheria bilakuangalia madhara yake. Mfn pale alipotaka kuvunja ghorofa la tenesco ubongo au pale alipowaambia wakazi wa kigamboni km hawana nauli ya sh mia mbili basi wapige mbizi.just imagine akiwa rais mtu dikteta km huyu si...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunafikiria kufuta ada kwenye shule za sekondari

    Hivi mh huwa anatumia huu mmea??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mpinga, nimeona mbinu mpya za vijana wako barabarani

    Wanatafuta pesa yakulipa deni lataifa.soon kila mwananchi atadaiwa sh laki tatu.hapo serikali si itakuwa imepiga hatua katika kupunguza deni la taifa?
Back
Top Bottom