Recent content by mwasu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mama Rwakatare kupiga makofi bungeni kuunga mkono ya msaliti auawe kunatufundisha nini?

    wajinga ndio waliwao, ukiona MCHUNGAJI anashangilia mauaji ya binadamu, waumini wake watakuwa mazombie., hakuna mchungaji hapo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Mteue rais mstaafu Kikwete kuwa Waziri wa Mambo ya Nje akusaidie kazi kwenye Wizara hiyo

    Huyu huyu ane washwa washwa leo aache kujikuna akauzime moto? Acha JK atulie na wajukuu zake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Dreamliners?

    Wale wakiamua asafiri kwenye buti ya ndege hawashindwi kumsafirisha from Dar to Chato wala si lazima aende huko.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Dreamliners?

    Siku zoye mimi ni mpole ndio maana nataka na mkuu wa nchi kwa hili awe mpole aache yale maujuaji ya kisukuma maana ni ya kijinga tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Dreamliners?

    Ya kwake si anasema akionda madarakani miradi YAKE itakwama.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Dreamliners?

    Ya kwake si anasema akionda madarakani miradi YAKE itakwama.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Dreamliners?

    Mungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Baada ya Brexit ya Uingereza na nchi za ulaya sasa Marekani wameamua kum BREXIT makonda na watanzania, inauma sie kujumlishwa kwenye makosa ya huyu FFFFF, lait meko angemskiliza gwajiboy.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

    Mavi yamegonga chupi mwenzio wewe unasema konki
  10. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Askofu pengo aseme bado ana amini huyu makonda ana faa kuwa rais wa nchi hii?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Huyu jamaa ni mpumbavu sasa anasababisha janga kwa nchi nzima, huyu jamaa ni mzito kiakili ndio maana hata kufikiri ni zero.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mwandishi wa Habari akutwa amefariki chumbani kwake

    Afadhali walivyokuwa wanawapa kesi za uhujumu, afadhali walivyokuwa *wanawateka na kuwapa kesi* kuliko hii *staili*.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, BBC siku hizi imekuwa biased broadcasting corporation?

    BBC idhaa ya swahili Salim Kikeke alitangaza hii habari.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo haukulifanya ila ukapatikana na kitu kilichoashilia kuwa mkosaji?

    Dah! nikiwa form four mwalimu alitaka tuimbe wimbo kwenye graduation yetu, sasa akaniuliza mimi nitaimba sauti ya ngapi nikamwambia mwalimu SIJUI, aisee! ikaonekana nimemdharau nikacharazwa sana fimbo wakati ilikuwa ni kweli sikuwahi kuimba wala kujua sauti yangu ni ya ngapi lakini nilionekana...
Back
Top Bottom