kama unapenda kuwa na kiwanda unaweza Nunua mashine ya Kukamua mafuta ya alizeti kama wewe ni mwenyeji dodoma basi malighaf zinapatikana kwa wingi sehem za kogwa wananunua alizeti kwa wingi wakati wa mavuno zikiwa bado zina bei ya chini wanaweka stoo..! kwa pale mbandee njia panda ya kwenda...
Mimi ninao uzoefu wa biashara ya dagaa kutoka ziwa victoria mwanza nina uzoefu wa dagaa za binaadam, furu. na pia zile za mifugo. pamoja na masoko yake
Kwanza kabla na mimi sijatoa ushauri wangu ningependa kukushauri jambo moja kwa hicho kiasi ulichokitaja ni hela nyingi sana unaweza ukaigawa hata mara tatu au nne kisha ndio ungetafuta watu tofauti tofauti wenye mawazo mazuri za biashara sasa hapo baada ya kuchuja na kuangalia yale utakayopenda...
Mkuu inategemea kwanza unahtaji dagaa wa aina gani kuna wale wasiokuwa na mchanga pia wanakuwa wanaanikwa kwenye vichanja au sehem nyingine ambapo kunakuwa na miamba hawawezi kutengeneza chanja wanakuwa wanaanika kwenye nyasi. pili kuna wale wa mchanga wanakuwa wanaanikwa chini kwenye mchanga...
Mkuu watu hatulingani, wala hatufanani mitizamo, kinachonifurahisha mimi hakiwezi kukufurahisha wewe pia. kuwa tu mvumilivu seem unazo hazina maana kwako wewe ziruke tu wala hautapungukiwa chochote..! kuna wengine wanaelimika na kuburudika
Write your reply...swali ambalo nimebakia nalo kicwani ni je ulifanikiwa kugundua ni kwa nini huyo binti aliyebakwa alikuwa mtu wa kulia na kuumwa na pia hakuwahi kuwa na furaha kabla ya kubakwa je alikuwa na tatizo gani jingine lililo mpelekea yeye kuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu?
Mimi Nikiwa kama mteja wenu wa muda mrefu naombeni msaada wenu usiku wa rarehe 19 mwenzi wa Tatu mwaka huu niliibiwa com yangu sina ya tecno j7 niliripoti polisi na rb ninayo nilikuwa naombeni msaada wenu je ili niweze kuipata com yangu nifuate taratibu zipi na gharama ni kiasi gani? Number za...
Lakini pia wakina Musiba walipotaja oroza yawatu hatari kwenye mitandao polisi walisema wamelipokea na wanafanyia kazi taarifa zozote wanazopewa hata kama aliyewapa ni mwenda wazim
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.