Recent content by MWASIKILI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Hakuna tofauti ya hesabu kati ya mamlaka mbili (TRA na EWURA)

    Acheni wivu wa kike,ulitaka baba yako awe naibu waziri wa fedha?naona hicho cheo kina wauma sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinana ana uwezo wa kuwajibisha Watendaji wa Serikali?

    Wewe acha ujinga CCM ndo yenye serikali kwa hiyo anauwezo wa kufanya chochote kwa watendaji wa serikali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Mwigulu ndio huu hapa

    Ukawa wamechanganyikiwa mwigulu atawafanya mbaya,jembe la ccm.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Kinana wazua tafrani,abiria watishiwa kuswekwa ndani!

    Acheni wivu wa kike mlitaka babazenu ndo wapatiwe misafara?machademu amaa mnawivu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imegeuzwa shamba la bibi kwa muda mrefu

    Wewe ni Marka yupi au yule wa chadema rasi kituko wa kiwira?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa picha hii, ni uthibitisho tosha kwa nini chadema wanapenda kwenda sero...

    Daa naona lema amebanwa nyeti.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!

    Kweli hamjitambu UKAWA mnafurahia nafasi zisizo na tija yoyote,kweli UKAWA MAPOYOYO.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    Daah kweli tuanze kupoteza muda na kujadili ya akina makongoro humu jf?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    unasema "ulimwambia Mungu ashughulike nao"kumbe wewe unamwambia Mungu badala ya kumwomba.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gari ya CCM yakamatwa na mapanga, sime na marungu, wakimfuata Mathayo Torongey

    Poleni chadema hamkosi sababu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Ndugu zangu habari za leo,wote tumesikia hotuba ya raisi jana kwamwenye akiri nihotuba nzuri iliyojaa upendo,amani na mshikamano,lakini baadhi ya watu wana misimano ya kisiasa juu ya serikari 2 au 3,ukweli ni kwamba serikali3 nimisimano ya baadhi yaviongozi wa siasa ambao wanaona serikali3...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Jimbo la Kalenga: Matukio na Matokeo - 16 Machi, 2014

    Naitakia kila la heri ccm ushindi wa kishindo kalenga,umoja ni.............,ccm viva.....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kalenga...

    Mmeanza sababu ccm kushinda nilazima halafu aliyewaambia kwamba kituo kimoja mnaweka mawakala10 ndo vurugu tunazo zikataa na chopa hazikubaliki kesho,kama mmejipanga vurugu jeshi la police limejipanga sana kukabiliana na vurugu vilivyo na lipo imara.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya taifa ya uchaguzi;chadema kutumia helkopta siku ya upigaji kura ruksa

    CHADEMA kwanini mnapenda vurugu,kama Tanzania hamna serikali mtaona,mmezoea kushinda kwa fujo lakini saahizi tumebumbuluka ushindi wa aina hiyo haupo tena.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya vyama vya siasa kutoweza shika hatamu ya uongozi tanzania

    Wana Jf natiririka jamvini kuwafahamisha watanzania wenzangu juu hili,kiapo ni jambo ambalo linaingia kwa mtu kupitia roho,yaani unaweka maagano kati ya roho yako mbingu na aridhi huku nyama za mwili wako zikiwa shuhuda,ambacho hicho kiapo kinaweza kumalizika kulingana na muda ulio aapa...
Back
Top Bottom