Recent content by mwashambwa wakwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    mfa maji siku zote haishi kutapatapa,ukishindana na mjinga utaonekana mjinga nawe,ukijibu mashambulizi ya chizi hasa maneno mabaya anayokutamkia we mwenyewe utaonekana chizi;kuna nguvu ya ushindi katika kunyamaza.yesu alipoitwa belzebul means mkuu wa mapepo hakupoteza mda kujisafisha bali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya wa Serikali ya Zanzibar, akimkaribisha Lowassa UKAWA

    Mi nauliza tu nataka kuelimishwa ni mgeni humu na kiswahili kwangu ni tatizo;hivi jana lowassa alikaribishwa kujiunga na ukawa au alijiunga jana na ukawa?nisaidieni
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA Mmeshakuwa Friendzoned!

    Sikulaumu wewe kwani tatizo si wewe ila tatizo ni viwango vyako vya uelewa;bado hujajua kama hujui ukijua utajua kuwa ulikuwa hujui kile unachodhani unachokijua sasa.
Back
Top Bottom