Recent content by Mwashadema lameck

  1. M

    Fursa wahanga wa ajira

    Natafuta kazi ya u secretary au sales au za usafi maofisini. Sibagui kazi ikiwa Nina uzohefu nayo. Nimesomea advanced microcomputer.
  2. M

    Natafuta kazi za vibarua viwandani

    Kuna jamaa anatafuta kaxi ya kupaka rangi nyumba ya aina yyte hata maofisi na makampuni, anauzoefu mkubwa wa kupaka rangi, mwenye kuitaji kuboresha nyumba, ofisi, kampun, kupakwa rangi na Ku repairs yupo kijana anapatikana yombo-temeke.
  3. M

    Aliyesoma bachelor ya computer science anahitajika

    Asante kwa ushauri, nitafanya hivyo.
  4. M

    Aliyesoma bachelor ya computer science anahitajika

    Du Duuh! Mimi nina advanced tuu ya computer na nimesoma moja kati ya vyuo hivyo. Dahh! Imenipita hiyoo!!
  5. M

    Fursa wahanga wa ajira

    Hapa tunaitajika watu waaminifu na hofu ya Mungu tuu, kitu kitafanyika na kufika mbali, but wako wapi wtu hawa ni shida kuwatambua!!!!
  6. M

    Kijana wa kazi aliemaliza form 4 au 6

    Ntakupata kwa mawasiliano yapi boss, Mimi Nina uzoefu huo.
  7. M

    Natafuta kazi za vibarua viwandani

    Nnatafuta kazi inayohusiana na mambo ya Microsoft office computer jaman, naombeni msaada jaman, hata za usafi maoffisini na kazi za mauzo mauzo pia kama zipo Nina uzoefu nazo.
  8. M

    Nafasi za kazi ya ushonaji

    Matangazo ya zaman yanatuchanganya
  9. M

    AJira ya temporary walimu.

    Naomba kuuliza, ina maana matangazo ya humu ya kazi ni ya uongo uongo tusiyaamin sana kwa wagen kama sisi eeh?
  10. M

    Nafasi za kazi ya ushonaji

    Mimi nauzoefu na uwezo wa kutumia computer, je nakupataje, na office ipo WAP, Nina uzoefu wa computer kwa miaka6.
  11. M

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Laini ya mtu ikisajiriwa Mara moja, baada ya miaka2 au 3 mnamtumia SMS ya kukamilisha usajiri, eti mwanzo ilikuwa ni usajiri wa awali na asipofanya hivyo mtamfungia, hii haini ingii akilini, kwani MTU akinunua lain Mara ya kwanza na kuisajiri kwann huwa hamkamilishi usajiri. Huu ni usumbufu...
  12. M

    Nafasi ya kazi

    Kaxi zote hizi unataka ufanye wewe, mmh! Nilijua unatangaza nafasi ya kazi kwa watu wenye fani hizo, kumbe huyu ni MTU mmoja, ana mikono sita au? Hii ni kazi ya teem work sasa!!!!
Back
Top Bottom