Kumbuka wapo watoto wa maskin ambao soma soma yao ni kuunga unga na leo ghafla unabadil qualifications for bachelor degree unategemea wakimbilie wapi?? Unakumbuka moja ya sera ya ccm?? Ilkuwa kusaidia watto wa maskin maana ndo anavyojiita rais wako kwamba ni rais wa watu wa hali yq chini...
Hawajasema kama ni kwa hawa waliomalza mwaka huu ama niaje.. Tena wakaenda mbali wamesema kabsa kama HUNA 3.5 USIJSUMBUE KUOMBA chuo.. At least wangesema kama ni wa mwaka huu ama kwa wote... 3.5 mtu una familia uku unasoma, bfu za walimu na wanafunzi dah
HAbari wanandugu wa jamii forum
Hivi anavyofanya Ndalichako ni kuua elimu ama kuinua elimu? Kwa sisi wenye diploma tunaotaka kujiunga na chuo kwa mwaka huu wa masomo wametuzungushaa weee mwsho wa siku ghafla bin vuu wanatoa sifa za muombaji awe na 3.5 GPA na average ya B+ wakati ukii convert...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.