Recent content by mwasaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    mmmmh naenjoy kuijua sheria kupitia aya mambo umu ndani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Mapenzi na Wanyama Ruksa?

    duuh jaman mume ongea yote ayo kwa udhaifu,ukamilifu na mapungufu ya mwanadamu kila mtu katoa kasoro ya mwenzie bt cjaona mkigusia sheria like watu wawili 2 ndo wameigusia kdogo so let us back to sheria aya wanasheria wasomi tuambieni chochote apo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    jaman sasa ndugu tuweke wazi basi unataka kutuambia iyo taarifa n ya uongo maana the issue ndo iyo iliopo hewan so unataka vidhibitisho au
  4. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    jaman sheria ya kifo Tz ni bora isiwepo just imagine kama ndio wew umesomewa leo hukumu ya kifo alafu unaenda kuwekwa in custody ukisubiri unyongwe yan na kila cku hunyongwi ila uko pale ukijua kua unatakiwa unyongwe afu unakuja kunyongwa after 20years iv uyo mtu kipindi chote icho anachosubiri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    jaman wapendwa m nauhakika ata baadhi ya polisi wageni izo sheria hawazijui so wanajifunza kutoka kw waliowatangulia coz ukiwambia polisi kuwa ooh ibara ya 13, ibara ndogo ya 6/c ya katiba wanakwambia unajifanya msomi ndo wanazidisha nguvu yao! Ufanyike uchunguz jaman kwa ao polisi kama kweli...
Back
Top Bottom