Recent content by mwaps

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Uchawa na ujinga ndo unaowasumbua,hamtaki kuambiwa ukweli.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

    Uchawa na upumbavu ni tatizo sana kwa nchi hii.
  3. M

    JamiiForums Tanzania China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

    Kwa usalama wa China,Taiwan inatakiwa kuwa chini yake.Jiulize kwanini Tanzania inang'ang'ania Zanzibar?Mmarekani kushirikiana na Taiwani anatengeneza mazingira ya kumchungulia China kirahisi!China ni Threat kwa Marekani kiuchumi,so US anatafuta namna ya kumuangusha!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Russia yasema Hezibollah wanafanya vyema kwenye uwanja wa Vita

    Kwani zile ndege f-35 zilizotaka kushambulia Iran,walizigundua na kuwajulisha Iran wakiwa wapi?Technology mzee,very simple!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel: 'Iran itajipata ikiwa kama Gaza na Lebanon'

    Anaringanisha Gaza na Iran??Mpumbavu!Wote watapoteza!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wachechniya wamechukua tenda ya kuwafurusha Ukraine kutoka Kursk. Wamekomboa maeneo kadhaa huku jeshi la Urusi likisonga mbele Donest

    Wanasafishwa wote,deadline tar.1 mwezi October.Huku rais wa dunia akiendelea kuchukua miji zaidi Ukraine.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine kapigwa na kitu kizito wapoteza zaidi ya wanajeshi 600

    Iskander missiles mbili zimetosha kumaliza biashara!Bado Satan II zipo stock,hizo zikitumika Ukraine itakuwa vumbi tu.Very poor Zelesky,selling the country.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Komandoo Jeshi la Israel kitengo maalumu cha Maglan auawa na Hamas, azikwa kishujaa Jerusalem

    Taifa linaloendekeza ushoga na halimtambua Yesu Kristo?Lack of information kwa kweli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania NSSF wabadili sheria yao ya kutoa mafao

    Kwahiyo kila mtu ana uhakika wa kufikia uzee!Nonsense.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

    Wamebeep fire,wameishia kupoteza wanajeshi 660 kati ya around 1000 walioingia Kursk.Wanajutia ujinga waliofanya,lengo ni kutrend kwamba wameingia Russia,mwisho wa siku wameishia kufa.Brothers Russia is a war machine in Trump voice,walishinda vita zidi ya Hitler,Musolini n.k.Russia hatashindwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

    Mnabishana bure,hiyo ni habari ya uongo!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

    Nashangaa sana kuona mtu akishabikia majizi ya magharibi yanayofanya siku zote Afrika tushindwe kupata maendeleo.Putin is very strong,tambua ana military support toka China na North Korea.Kama hujui China ndo taifa tishio kwa sasa kwa teknolojia.China is the next super power.Marekani hivi sasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni TEAM Hamas,Russia,Iran,Hizbullah,Houth Kama ndiyo na wewe njoo hapa tujuane

    The Putin himself,npo hapa!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Drone ya Kijasusi ya US imepotea kwenye rada huko Black Sea

    The Giants wameshaichukua hiyo!@Russia
Back
Top Bottom