Recent content by mwanzamwanzo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

    Maisha ni mapambano, kama awamu iliyopita ilikosa hata ubunge wa VITI MAALUM,, Bado fursa ipo,, kaza Buti,, unaweza kuambulia hata ukatibu Tarafa,, pambana kaka,, ZETU DUA,,! Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

    Sio Kaiza ila Kahonga, basha wa kimanga,, Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

    Tangu nimekufahamu, leo umeandika kwa kutuliza akili,, Naona umeacha kunywa LUBISI,,! Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Bora wao wamepata fursa ya kuvunja,, Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

    Mpendwa unamwelewesha maurid khanga,,, ! Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

    Mshangao kwangu, sio kwamba Waziri mkuu, eti hajui kuwa Dubai sio nchi. Mshangao kwangu ni:- mtu mwenye hadhi ya PM, Kukutwa hajui kuwa MAKUBALIANO NI MKATABA NA MKATABA NI MAKUBALIANO.,,!!?. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamani, mengine muwe mnakaa kimya, mtwafanya pro Nato wafe kwa kihoro,, walishaamua kushangilia uhasi wa prigo, mara ghafla,,, Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Uliza swali lolote kuhusu Mkataba wa Tanzania na Dubai kuhusu Bandari

    Ili kuikomesha ujinga wao inatakiwa tuwasaidie li redio lako (hakuna kusikiliza) wala ku' view chaneli zao U,tube. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Yaani kwa maovyo ovyo yake yote,, na watu hasio wajua,, Kusahau Enzi ya EPA. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Ukijitoa fahamu, uwe uwe unabakia za kuvukia barabara. Umesahau kuwa Majaliwa (waziri mkuu), Alisema Dpw wamepewa Bandari kwa sababu utendaji wa Ticts ulikuwa mbovu,, Sasa hapo nani kapewa za Uso, ni Mbowe au PM,,!? Kabla ya kushangilia Tafakari,,! Sent from my Infinix PR652B using...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Kilimzuia nini kuyasema hayo pale Bungeni,,? Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

    Vile vile kuna watu wanaoshabikia Dpw kwa sababu ni Muslims,, bila kuwahurumia wajukuu wao, bila kujali maslahi ya Taifa,, Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

    Ahaa,,! Unamaanisha kwamba KAMA NGOSHA, ALIFANYA UJINGA, waliokuja balaa yake wafanye UPUMAVU,,!? Au unamaanisha nini,,? Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa utumishi, PSSF wachezea mfumo na kumstaafisha mtumishi kabla ya muda, alilipwa Milioni 72, akapokea Milioni 2 tu

    Ndio maana ya kuchezea mfumo,, u.eelewa,,!? Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maisha halisi ya Burundi

    Kwenye eneo la biashara warundi, wana uaminifu sana,, ni nadra mrundi kukuchezea sarakasi,, ila Wabongo ndio uwafanyiwa umafia warundi mara nyingi. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom