Recent content by mwanza yote yangu

  1. mwanza yote yangu

    Nyumba inauzwa Mwanza

    Nimeipenda sana hii nyumba,IPO kishiri maeneo gano?
  2. mwanza yote yangu

    Mwanza Sales

    Idea nzuri mkuu,Kama utakuwa mwaminifu utamake.hivi zile compressor zipo?
  3. mwanza yote yangu

    Looking for a night shift vacancy

    Mkuu ujuzi wangu upo sana sana upande wa accounts,loan management na computer naijua sana upande wa software management ..mambo ya mabenki ,bima za mahospital na utawala wa hospital,usimamizi kwa ujumla etc.nina degree ya kwanza ya utawala na uhasibu
  4. mwanza yote yangu

    Looking for a night shift vacancy

    I am looking for a night shift job,location should be around lake zane Mwanza,Shinyanga,Musoma etc
  5. mwanza yote yangu

    "Rapid test" for hiv vanish

    Elimu ya ukimwi kwa mapana yake,kuanzia kuingia kwake,kinga,vipimo vyake hadi kufikia dawa za kupunguza makali ya Virusi na mafanikio kuelekea upatikanaji wa dawa ni elimu pana sana kwa ujumla wake..tujitahidi kusoma kila kukicha na elimu izidi kutolewa kuhusu HIV kwa jamii kwa ujumla...
  6. mwanza yote yangu

    Ni nini sababu ya wanaume kushindwa ndoa zao? "I will divorce tommorow"

    Daah kaka pole sana, unayoyasema yanauma sana hasa ukizingatia ulikuwa na matumaini sana ila mwisho wa siku hawa watu mimi binafsi nashindwa kuwaelewa, once ukiwa commited wao wanakuwa waongo sana... Mpaka leo sielewi tatizo ni nini
  7. mwanza yote yangu

    Natafuta chumba cha kupanga Mwanza

    Dalali hata sa hivi ukimpigia anakupa chumba na seble ila kwa hiyo bei jiandae kukaa mabatini, igogo na mkuyuni tu
  8. mwanza yote yangu

    Natafuta chumba cha kupanga Mwanza

    Ngoja nikusaidie mpigie huyu jamaa anaitwa mkuu wa mkoa 0757023493
  9. mwanza yote yangu

    Ni nini sababu ya wanaume kushindwa ndoa zao? "I will divorce tommorow"

    Hapana bana, mara zote amekuwa akilaumu ujuaji wa mwanamke na mwanamke kujifanya yupo juu kwenye kila kitu mpaka kufikia kiasi mwanaume anakuwa wa chini sana kitu ambacho alikishindwa
  10. mwanza yote yangu

    Ni nini sababu ya wanaume kushindwa ndoa zao? "I will divorce tommorow"

    Mwaka jana nilisimama kama shahidi kwenye ndoa ya kaka angu kwa mwanamke aliyemsifia sana mwaka huu wameachana.Mwezi huu wanne hauishi anafunga ndoa tena na mwanamke mwingie anaemsifia sana.Hapa najiuliza ipi ni sababu ya wanaume wengi kushindwa kumudu ndoa zao?
  11. mwanza yote yangu

    TANESCO ya sasa na mgao wa umeme tutamkumbuka Muhongo

    Kweli aliweza, nitamkumbuka kwa mema yake hili giza la sasa nailaumu siasa chafu ya Tanzania isiyohali watu makini wenye maono
  12. mwanza yote yangu

    TANESCO ya sasa na mgao wa umeme tutamkumbuka Muhongo

    Ungemuelewa alichomaanisha ungemuunga mkono kwa kuwa mzalendo wa hali ya juu
  13. mwanza yote yangu

    TANESCO ya sasa na mgao wa umeme tutamkumbuka Muhongo

    Penye ukweli tuseme ukweli kwa hali aliyoikuta na hali aliyoiacha tunapaswa kumpongeza na kumbuomba msamaha kwa tulicho mtendea kweli hakustahili.. Hili leo giza limejirudia wakati nilishasahau kama umeme huwa unakatika enzi akiwa Waziri wa nishati na Madini
  14. mwanza yote yangu

    TANESCO ya sasa na mgao wa umeme tutamkumbuka Muhongo

    Najihisi mkosaji, kwa mengi aliyiyatenda na hukumu tuliyompa kweli hakustahili .. Nitumie nafasi hii kumuomba msamaha kwa tulichomtendea kwa niaba ya yangu na ya familia yangu nakuomba utusamehe Profesa Sospeter Muhongo kwa tulichokutendea.
Back
Top Bottom