Recent content by Mwanyololosya

  1. Mwanyololosya

    Kuitwa interview Tanesco

    Kwa ushauri wewe nenda, ukisikiliza sana ya watu humu uta fail. Me nilifanya usaili wao wa kaskazini na nikafaulu sasa hivi nipo kazini Kilimanjaro. Ww nenda unaweza ikawa bahati yako ila ukionesha kufuata ya watu utafail
  2. Mwanyololosya

    Kazi za tanesco Northern zone.

    Kwelii kabisa upo sahihi
  3. Mwanyololosya

    Kazi za tanesco Northern zone.

    Sure me nilipokea simu yao leo jionii na nikaambiwa hvyo but nilikuwa kwa daladala ila kuna shule ya msingi kaitaja sikumpata vizurii inaitwajee. Niliombaga nafasi ya udereva
  4. Mwanyololosya

    Dereva anatafuta kazi

    Ana miaka 26 anapatikana bagamoyo
  5. Mwanyololosya

    Dereva anatafuta kazi

    Asante nimeiona ilaa nikifungua ina load tuu
  6. Mwanyololosya

    Dereva anatafuta kazi

    Ana leseni class C1, C2, C3, D, E ikiwa kazi yoyote kwenye kampuni au kwa watu binafsi, msaidieni wana jf
Back
Top Bottom