NATAFUTA MKE
Ni kijana wa miaka 26naishi mbeya natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu asizidi 23 miaka
sifa;
.Awe mkiristo
.Aishi popote Tanzania
.Awe anayatambua majukumu yake
.Awe na upendo wa kweli
.Mkweli na mwenye nidhamu 0756093879
NATAFUTA MKE
Ni kijana wa miaka 26naishi mbeya natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu asizid 23 miaka
sifa;awe mkiristo
.aishi popote tanzania
.awe anayatambua majukumu yake
.awe na upendo wa kweli
.mkweli na mwenye nidhamu 0756093879
NAUZA LAPTOP INA MWEZI MMOJA AINA YA HP COMPAQ6910P
RAM2GB
WEB CAMERA
80GB HDD
WINDOW7
intel(R)core(TM)2 duoCPU
T7500 @ 2.20GHz=330000 napatikana mbeya mbalizi cont:0654011010/0759796813 na TUNAZOSIMU ZA BLACKBERRY9300 KWA 140000 NA TECNO P5 3G ANDROID DUAL SIM,8GB 170000 MPYA KABISA
Mm ni kijana mwenye miaka 26 naishi mby ninahitaji msichana wa kuwa mchumba wangu and then tuoane
sifa zangu
umri 26yrs
mrefu wa wastani
nimeokoka
mpenda maendelo/kijituma
sifa za nimtafutae
awe ameooka au awe ready kubadilika na kuokoka coz mkiwa na mungu regardless ya...
Natafuta serious girl anayejitambua na aliyetayari kuanzisha mahusiano mapya,awe na umri usiozidi miaka 25
awe anaishi mbeya me napatikana iyunga anitafute kwa 0659496544 tuma sms ntakucall:rolleyez:
- awe anajiheshimu
- upendo wa kweli
-mwaminifu
anayejihisi ana vigezo...
Natafuta binti wa kusaidia duka la m-pesa na vifaa vya simuna computer ajue kusoma na kuandika ajue matumizi ya computer asizidi miaka 22 awe mwaminifu 0759796813
Natafuta binti wa kusaidia duka la m-pesa na vifaa vya simuna computer ajue kusoma na kuandika ajue matumizi ya computer asizidi miaka 22 awe mwaminifu 0759796813
Niliweka tangazo kuwa nauza vitu vya ndani kwakuwa nasafiri tarehe za safari nijumanne ya wili hii so time imefika mwenye kuhitaji nikama ifuatavyo na bei hii ndi yakuuzia nataka mtu wa sireous awe na 400000/=tu
-kitanda cha 5/6na godoro lake
-sofa ya watu wawili
-vyombo
-fan
-pasi
-buffer...
kwa mwenye kutafuta chumba maeeneo ya mabibo gerij cha haraka anipm kinapangishwa kwa mwezi 35000
kina singboard na kila kitu muhimu ndani kama kitanda 6/5,meza,radio ndogo,buffer,sofa ya watu wawili,pasi,fani,vyombo kwa 400000/=mwisho j4
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.