Recent content by Mwanjigwene

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video: meli ya kivita ya USA ikionywa Iran

    jamani Israel! Hawa jamaa katili! limeua viongozi wote hawa!. Netanyahu uwe na huruma!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hezbollah Waingia ndani ya Galilee Israel na kuteka maeneo

    Punguzeni mahaba wairani wa namtumbo. israel ipi unayoizungumzia hii yenye nuclear power au?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mwamba waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa ulimwengu!

    Oh sijui vidole sita. Nayo hii ni AI nawauliza nyie wairani wa lupembe!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Houthi watangaza kujiunga kwenye vita dhidi ya Marekani, Israel na vibaraka wao

    Labda mimi sijaelewa mbona wamesema wapo tayari kwa lolote hawajaingia vitani bado! Labda mimi sijui kiingereza.
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chief Masoko: Tutumie mambo yetu yale Wajinga wanaombeza Rais Samia mtandaoni walaaniwe

    Nijuavyo mimi wachawi ni viumbe wanyonge sana katika ufalme ule wa giza.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Bishop Gwajima kafilisika

    Ushauri wa bure! usitanie watumishi wa Mungu hawataniwagi!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi vifo ni mpango wa MUNGU au mkakati uliojificha.

    Jamani mie nauliza tu! Nyie mnaua wenzenu huo uhai mliwapa nyie? au n mali yenu? hivi unajua kuwa nawe utakufa! Nawasihi wanadamu tumwogope Mungu, muwe na huruma kwa watoto wenu pia maana damu ya mwanadamu haipotei bure! nakulilia wewe u ayeua bila hata kujali watoto wa wenzenu mnaowafanya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo

    zamani wasomi walikuwa mstari wa mbele kudai na kutetea haki kwa kuandamanano na migomo! Nauliza tu maana kuuliza si ujinga! Wasomi wetu huko vyuo vikuu mnasoma ili iweje? Mumkomboe nani. Mbona hamuisaidii jamii? manatuangusha sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi kiongozi Mwandamizi wa Hamas Mohamed Sinwar aliangamizwa

    Jamani hivi Hezbollah waliendaga wapi .mbona kimya sana wakuu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Sisi tupo na mwamba lissu nenda mwana kwenda.
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

    Kwa comment yako tu nimejua kichwani hamna kitu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

    Mahakama zipi mkuu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    Unabii unasema ni Harris, pole sana. Keep my words!!😋
  14. M

    JamiiForums Tanzania Masaa machache yajayo Iran inakwenda kuiangamiza Israel

    Nyie wairani wa kamsamba,hagafilo, kongowe na kimbanguliw juu, kaeni pamoja na wayahudi mmalize tofauti zenu, wayahudi hamuwawezi, watawamaliza, watoto lana hao.
Back
Top Bottom