Recent content by MwangimbaO

  1. M

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Hili Jimbo lipo kule jamaa wasikotaka Muungano aslani"Zenji",Kazi yake ni kutiwa vidole tu,ndio maana alimtoa Wenje ili akamtie vidole,we siumemuona alivyozubaaa,anawaza halua tu mjengoni........Wabunge Viti maaluma CCM leo walikuwa wanatimiza wajibu wao,kuzomea,na kupiga meza tehe tehe.....
  2. M

    Zitto ataka Tanzania isitishe uhusiano na nchi za Magharibi: Kisa? Libya

    Hamna kitu hata kidogo.Simuungi mkono Zitto kama ifuatavyo; 1-Wakati wa vita ya Idd Amini kule Kagera huyu bwana alikuwa anawasaidia "wahuni" wa Idd Amini "Against" Tanzania.Leo hii mnamuonea huruma,of course ni hulka ya Mstaarabu yoyote kama tulivyo watanzania...
  3. M

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    ROSTAM ABDULRASUL AZIZ,Mbunge wa Igunga,Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM amejiuzuru nyadhifa zote ndani ya CCM pamoja na Ubunge wa Igunga.Taarifa rasmi aliyoitoa katika vyombo vya habari itawajia baadae............
  4. M

    Jumuiya ya Kikristo yamtaka Kikwete ataje viongozi wa dini wanaojihusisha na madawa ya kulevya

    Sasa Kuwaambia Viongozi wa Dini Wanauza Madawa ya kulevya "Misuba", sio Ishu.Ishu ni wapi katumia kutoa dukuduku lake hilo,Kwenye kusimikwa Askofu?Je,ina maana Maaskofu ndo wahusika?Mwisho wa mwezi na hotuba zake za kulia maandamano ya Chadema alishindwa kuhutubia mwisho wa mwezi wa 5 ndo aseme...
Back
Top Bottom