Recent content by mwangalingimungu

  1. mwangalingimungu

    Je, hii ni Fair Mohammed Hussein anakula zake 'Bata' Dubai akina Mayele na Morisson tunapishana nao Vibanda vya 'Mishikaki' Kariakoo Dar es Salaam

    Siyo fair zaidi wa wachezaji wenzake wa Simba ambao wamebaki humohumo wanamoonekana hao wa Yanga.
  2. mwangalingimungu

    Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

    Hata Aucho na Djuma Shaban hawakuwa kwenye viwango vya walikotoka. Lakini kwa Tanzania wakawa bora kuliko waliowakuta.
  3. mwangalingimungu

    Mwenyekiti wa Bodi: Simba tumejipanga kusajili wachezaji wenye njaa ya mafanikio

    Kiuhalisia, si rahisi kutengeneza timu yoyote ile ikafikia nusu fainali ya mashindano ya vilabu vya Bara lolote lile kwa kuanza na wachezaji wapya wengi kuliko waliobakishwa. Huo unakuwa ni Mradi mpya unaohitaji zaidi ya mwaka mmoja kukamilika.
  4. mwangalingimungu

    Ole Mushi: Yanga imepiga kwenye mshono

    Timu bora hucheza kwa malengo (objectively). Haiwezi kuhatarisha utimamu wake kwa mechi muhimu zinazofuata kwa kulazimisha mabao zaidi kwa nia ya kumkomoa mpinzani tu, wakati hata nusu goli linatosha kuivusha. Hoja yako ingekuwa sahihi zaidi iwapo Yanga ilitakiwa lazima ipate mabao matatu ndiyo...
  5. mwangalingimungu

    Adhabu ya TFF/bodi ya ligi kwa Mbwana Makata, sio kila gari ni Ambulance.

    Kuna kasoro kubwa kwenye uendeshaji Ligi za TFF, ambazo huwa hazionge hata na wanaojifanya wachambuzi wa michezo hapa nchini . Baadhi yao ni : 1. Timu kupewa ushindi wa mezani. Ni aibu kwa Ligi yoyote inayojitambua kuwa na kanuni inayoruhusu timu kupata pointi bila ya kucheza mechi, kwa sababu...
  6. mwangalingimungu

    Tuseme ukweli kuhusu Yanga na TFF

    Ila hawajafikia hatua ya kwenda na tv kwenye kikao na waandishi wa habari kuonesha jinsi wanavyonyimwa penalti!
  7. mwangalingimungu

    Kwa aina ya Wachambuzi tulionao tunawahitaji kina Haji Manara wengi

    Unajua kwamba ‘kusogezwa mbele’ maana yake ni ‘kucheleweshwa’? Na unajua kwamba ‘kuahirishwa’ maana yake ni ‘kucheleweshwa’ (inatokana na neno ‘akher’ la Kiarabu lenye maana ya ‘mwisho’, ndiyo yapatikana pia maneno ‘ahera’, ‘aheri’ kwa maana ya bei ya mwisho kwa muuzaji, n.k.). Kwa hivyo...
  8. mwangalingimungu

    Kwa aina ya Wachambuzi tulionao tunawahitaji kina Haji Manara wengi

    Ila wanapoisifia Simba huwa ni wachambuzi sabunisabuni? Na kitakwimu, mara nyingi wamekuwa upande upi baina ya takataka na sabunisabuni?
  9. mwangalingimungu

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Kwa hivyo Brazil imechukua Kombe la Dinua mara nne tu kwa kuwa kwenye mashindano ya USA ilichukua kwa changamoto ya mikwaju ya penalti? Kwa hivyo kwenye ranking ya FIFFA ya mwezi huo na karibu mwaka mzima uliofuata haikuwa ya kwanza duniani kwa sababu imeshinda kwa mikwaju ya penalti? Kwa hiyo...
  10. mwangalingimungu

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Unasahau kwamba michezo inayoamuliwa hivyo huwa ni ya mtoano, kwa hivyo swala la pointi na magoli ya kufunga dhidi ya kufungwa huwa halihusiki. Anayeshindwa kwenye changamoto ya penalti huwa ameshindwa, ametolewa, haendelei tena. Aliyeshinda anaenda hatua inayofuata au kama ameshinda kwenye...
  11. mwangalingimungu

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Issue ni kuwa upigaji penalti tanotano ni kubahatisha, lolote linaweza kutokea. Kwa hivyo ni kamari, hazina mwenyewe hata kama ni baada ya dakika 120. Mimi sikubaliani na hilo kwa sababu upiganianaji penalti kuamua mshindi umeanza zamani na ni sehemu ya mchezo wenyewe. Tatizo ni kwamba sisi...
  12. mwangalingimungu

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Na hii dhana kwamba penalti ni kamarI, penalti haina mwenyewe, ni kwa wasioelewa maana ya uwezo wa timu. Kupigiana penalti ni kamari kwa walioshtukizwa na mtindo huo kwa mara ya kwanza duniani. Tangu hapo imekuwa ni sehemu muhimu ya ufundi wa timu. Makocha wa makipa wameweka mafunzo mahsusi ya...
  13. mwangalingimungu

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Kwani nani anabisha hilo? Linalobishaniwa ni kwamba kutoshana nguvu huko kumetokana na Simba kutokuwa na wachezaji wake wa kutegemewa. Hilo halikubaliki kwa sababu hata na Yanga pia hawakuwa na wachezaji wao tegemez. Hiyo ndiyo hoja. Kwamba Simba wasisingizie kutoshinda mechi hiyo kwa sababu eti...
  14. mwangalingimungu

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Nani aliyesema Yanga wameshinda ndani ya dakika 90?
  15. mwangalingimungu

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Kuna mechi yoyote ya Simba ambayo hao wote uliowataja wamecheza kwa pamoja, sambamba nabaadhi ya hao wa kikosi cha kwanza waliocheza leo? Yasin Mustafa, Bakari Mwamnyeto, Lamine Moro, Fei Toto, James Kaseke, Yakoiba, walichezea Yanga leo? Hao ni wa kikosi cha pili?
Back
Top Bottom