kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Nimeona madai ya wachambuzi wengi wakishadidia kuwa yanga ina mgogoro na TFF. Binafsi nikijiuliza mgogoro huo ni upi,napata shida kidogo kuuelewa. Naomba mnisaidie.
Madai ya Yanga na mashabiki wake ni kwamba yanga inaonewa na waamuzi.
Madai haya je yana ukweli wowote?
Mi nasema katika vilabu vilivyofaidika na kubebwa na waamuzi msimu huu,yanga inaongoza.Nasikitika sana kusema hawa Watu wakisaidiwa na "takataka" zilizojaa kwenye vyombo vya habari, wameaminishwa kwamba wana wachezaji wa kiwango cha kimataifa level za club bingwa.
Wameaminishwa kuwa wanastahili ushindi wa goli nyingi na kwamba kushinda kwao goli moja ni kwa sababu TFF haiwapendi.Hiki kilio tumekisikia kwa baadhi ya wanachama.
Ndio maana hata mechi ya trh 8/5 lawama zote wamezielekeza TFF. Hakuna aliyefikiri kuwa nyuma yake kuna mkono wa mwanayanga ambaye ametumia dhamana aliyonayo serikalini kuwapa maelekezo TFF.
Halafu huku akijua kuwa timu yake itagomea mabadiliko hayo,hakuchukua maamuzi ya kuwaomba msamaha.Alikaa pembeni akifurahia jinsi mpambano unavyoendelea kati ya timu yake na TFF.
Hoja za yanga kwamba inaonewa,zinakuzwa sana na wachambuzi "takataka" waliojazana kwenye vyombo vya habari.
Je, ni kweli yanga inavyocheza inaonewa na TFF?