Recent content by mwandenuka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Kama hyo jamii inanikubali japo sio mzawa na wala sijawahi kuishi je katiba inaniruhusu. Mfano Zito kabwe kugombea kigoma mjini japo si mkazi wa kigoma mjini je katiba ina mruhusu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Jamani nina swali. Kuna uhusiano upi Kati ya kugombea nafasi ya ubunge na makazi? Naamanisha naweza kugombea ubunge katika jimbo ambalo sijazaliwa wala sijawahi kuishi? Na kama hairuhusiwi kugombea nafasi hiyo ni kifungu kipi kimeandika hicho kitu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Steven Wassira arudisha fomu za Urais

    Jamani nina swali. Kuna uhusiano upi Kati ya kugombea nafasi ya ubunge na makazi? Naamanisha naweza kugombea ubunge katika jimbo ambalo sijazaliwa wala sijawahi kuishi? Na kama hairuhusiwi kugombea nafasi hiyo ni kifungu kipi kimeandika hicho kitu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa inawezekana huna Parkinson's disease - PD

Back
Top Bottom