Recent content by mwandelema

  1. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Watanzania wafurahia kauli ya Rais Samia kushughulikia uchumi kwanza kabla ya Katiba Mpya

    Kwa sasa mh. Rais tunakuomba uone umuhimu wa katiba mpya kwani hauna mipaka ya kuijenga na huwa haukamiliki kwamba hapa tayari sawa na tajiri ambavyo hatosheki
  2. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi kutokusafiri au kusafiri mara kwa mara

    Kusafiri kunasaidia kwani tungepata soko la korosho kuliko ilivyotokea
  3. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Wilaya Kaliua na sakata la Mwalimu Johari kupigwa ofisini

    Haya ni majungu halafu unawadharirisha walimu hao kwani wao wameshindwa kujieleza
  4. mwandelema

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa Lamadi wana neno lao kwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ndugu Magufuli

    Hayo maneno angeyatoa mpinzani balaaa lake sijui
  5. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Homa ikipungua kuna haya ya kufikirisha Ndugu Lissu

    Bado naona unamawazo au fikira hasi kwani angekuwa amekufa uchunguzi ungefanywaje? Vitu vingine kwako njozi lakini kwa imani ya mungu hakuna lisilowezkana kama goliath na daudi
  6. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Maswali fikirishi kuhusu shambulio la Mbowe

    Mtoa post huna kitu kichwani
  7. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Wito wa maandamano Dar nje ya Ubalozi wa Marekani kesho

    Tangulia kwanza
  8. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Siyo mbowe wewe huogopi ugonjwa hebu tuache siasakwenye ugonjwa kwani afya haina cha posho hainunuliwi
  9. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy awe anatangaza Jumla Kuu baada ya kila Waziri Hamad Rashid anapotangaza wagonjwa wapya

    Mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua
  10. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ashauri Serikali iache kutangaza wagonjwa wapya wa Corona, itangaze wanaopona na wanaokufa

    Kujipendekeza kutatufanya tuumie watu wa chini
  11. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Press conference ya Mbunge Selasini leo: Intelejesia haina wasiwasi na mkusanyiko

    Wenye Corona ndio wanazuiliwa yeye, inawezekana anasanitizer
  12. mwandelema

    JamiiForums Tanzania Mshituko kasi ya kuporomoka shilingi mara 15 zaidi ndani ya mwezi

    Mimi napita tu
Back
Top Bottom