Recent content by Mwanaukomee

  1. M

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Mdee kwisha kazi! Utapeli wake na Ufisadi kwenye Mifuko ya Maendeleo ya Jimbo yote amekula. Kwa Wizi huo na Utapeli nani amchague? Em atuache wana KAWE sisi na Bishop GWAJIMA mwaka huu. Mdee out tumekuchoka na sinema zako kila siku zisizoisha, Kila siku kesi na hauna Muda wa kusikiliza kero...
  2. M

    Mnara wa Babeli unaanguka

    Utasubiri sana. Swala la CCM kuanguka futa kichwani kabisa. Nani akiangushe? CDM wasiokua na hija wala sera, Watanzania sio wajinga waache kuchagua mtu wa kuendeleza nchi yao wakamchague Kibaraka wa Mabeberu na Anesupport sera za Magharibi kama Ushoga. Nasema Lissu No❌
  3. M

    GE2020 Lissu anaongelea tu Serikali za Majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji zitatoka wapi

    Na ww uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo siyoo? Chukua Mfano kenya wanaotumia mfumo wa Kaunti zinazoongozwa na Ma senator, unasikia kila siku vurugu za kikanda na kikabila na Baadhi ya Kaunti kama Nairobi na Mombasa kuwa na Uwezo Mkubwa kulinganisha na nyingine. Hii inaleta mgawanyiko ndani...
  4. M

    GE2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

    Ulichokisema ni kweli. CDM hawajajipanga kuchukua dola, Hawana vigezo kwani Chama chao hakipo Imara na Kimejaa migawanyiko ya kimaslahi. Inabidi wakae chini wajipange na kukijenga chama chao Kama wakifanikiwa waje Tukutane Uwanjani kwa Miaka ijayo ila kwa sasa hapana
  5. M

    Pemba: Vyama sita vya siasa vyalaani vurugu za Alfajiri ya leo, waomba msaada wa IGP baada ya wananchi kukatwa mapanga

    Tukio hili ni la kupingwa vikali, Ni tukio baya na la kiuaji. Vyombo vya Ulinzi na Usalama viwatafute wahusika na wapate hukumu kulingana na Sheria za nchi. Watanzania tuzidi kudumisha Amani Upendo na siasa safi kipindi hiki cha Kampeni.
  6. M

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Ni kweli kuna Maeneo wanatumia picha za 2015 kipindi cha Lowasa kwani kwasasa hawana uwezo wa kukusanya watu wengi kuja kwenye Kampeni zao ambazo hazina sera wala mvuto zaidi ya Matusi na Chokochoko za kuivuruga Tanzania yetu yenye Umoja na Upendo.
  7. M

    GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Ununuzi wa Rada tatu za hali ya hewa kwa ajili ya kufungwaMikoa ya Mtwara, Mbeya na Kigoma
  8. M

    GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Daraja la Malagarasi katika barabara ya Kabingo – Kasulu – Manyovu (Kigoma)
  9. M

    GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mfuko waDhamana wa Mikopo kwa Wajasiriamali katika Sekta ya Kilimo (SIDO SME-CGS) umetoa udhamini wa mikopo 33 yenye thamani ya shilingi 1,048,000,000 kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Arusha, Kigoma, Mwanza, Singida, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga na Manyara;
  10. M

    GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Tunawapata kwa Uzuri sana na tunafuatilia Mubashara ,Naona Uwanja Umetapikaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
  11. M

    GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    Mdahalo afanye Lissu na chipukizi wa CCM ndio level zake ila sio JPM. Izo ni level tofauti ni sawa na Kutaka mwakinyo apigane na Myweather
Back
Top Bottom