Recent content by mwanasinza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge mlifikiria nini wakati mnalipitisha hili?

    nyie mnapata shida wakipitisha tu na sisi tunatafuta no za hao mawazir na wabunge vilaza nao tunawatumia mana sheria yao cinasema na yule aliopokea na anakamatwa ili tukajae huko magereza mm nawaomba waongeze magereza mana haitatosha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde (Kibajaji) anatamani mwanawe awe kama Tundu Lissu

    kweli kibajaji leo ameshindwa kuvumilia na kuongea ukweli kuhusu mwanasheria wetu Lisu Yule AG yupo yupo tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kama mikutano ya Kisiasa itaendelea kukosa watu kuna siku watu wataleta joka la kibisa

    Huyu nae si.mzee wa mitunguli anahangaika daah ikulu kutamu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

    Na green guard ya ccm wann wale kama co hao wanaotuteka na kuua wakat wa uchaguz wasilete uwehu wa red briged kuwa ni kukundi cha kigaid je nahao mafisad
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    Duh sasa napata majibu ya kile kibur imetoka wap na hakuna kitakochoendelea hapo. Hii nchi inatia hasira
  6. M

    JamiiForums Tanzania Difenda 9 za Polisi zatumika kusimamia uvunjwaji wa nyumba, Ni ile ya Lowassa

    haya ndio rais wenu mnaomtaka ameshaanza ubabe kwa wanyonge akichukuwa nchi c ndio tutahanishwa kama maharamia. hapa hamna rais hana sifa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Tukio la vurugu kwa Warioba limenipa umaarufu

    huyu jamaa cmpend kumbe anaishi sinza ngoja akutane namm mtaan
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela amekitaka Chama cha Mapinduzi Kumchukulia hatua kali za kinidhamu Lowassa

    lowasa hafai.hata hao.Team yake wenye njaa ya vijiela vyake wanajua sema wanijilazimisha kwavile wanapewa hela wafanyeje
  9. M

    JamiiForums Tanzania Friends Of Lowasa Ndani Mlandizi Jumamosi

    kama yeye anajiona anafaa mbona anahonga sana nyie mnaojiita friends of nn hamjiulizi huyo anayetaka urais kwa kuhonga mabilion anafaa kuwa rais au ndio atakuwa shida zaid ya huyu aliopo jipimen kwanza kabla ya kutumika
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu Ilula: Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto

    mimi nawapongeza sana wananchi kwa uwamuz walioufanya mana police wamekuwa adui wa wananchi wacha tuyafundishe adabu.safi sana yamezid kutumika na miccm
  11. M

    JamiiForums Tanzania Richmond na Dowans ni mali ya nani?

    kweli atueleze alipo Balali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    hv nani msafi ndan ya chama Tawala.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    nimefwatilia cjaona wale wakambi yake wakijibu hoja waje bac au ndio hakuna mwenye hoja za msingi
Back
Top Bottom