Recent content by MWANASHERIA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa jimboni Mtama,Lindi - Septemba 23, 2015

    Kwenye waliojiandikisha kuna wana Chadema, cuf, Nccr, na wasio na chama, ila wanaccm waliopiga kura za maoni katika mchakato wa ndani hawafiki 30,000
  2. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Alafu TCRA si walikataza watu wasiogombea kufanya TV live coverage kipindi hiki? Au hawajakatazwa wanaodhoofisha UKAWA tu? 😳😳
  3. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Bora hata Aunt Ezekiel alikua maarufu kuliko huyu, daah CCM wanapoteza hela zao buree. Bora wangezitunza mishahara ya wafanyakazi watakapokua chama cha upinzani. Masna vyanzo vyao vya mapato vitapungua saaaana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Lisu nakuomba kwenye mkutano ujao umuombe mheshimiwa Raisi atuambie zile hela zilizobebwa kwenye Viroba na Marumbesa za Escrow kutokea Stanbic Bank, zikikua za nani? Na kisha atuambia kampuni ya Simba Trust ambayo iko ubia na IPTL ni ya nani? Chonde chonde Lissu usisahau
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

    Ha ha ha ha ha ha ha😂😂😂😂😂😂🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Marais wa Mashirikisho ya Sanaa nchini, kuhusu kuagwa kwa Rais Kikwete

    Walaa Kikwete hajaingizwa mjini, yeye ndo alieandaa tafrija hiyo kwa kumtumia Ruge, yeye ndo alietoa kadi za mwaliko kwa wasaniii. Raisi alijua kabisa analofanya. Waulize wasanii waseme kama kuna aliechanga hela ya kulupia Ukumbi? Kununua chakula, vinywaji na kila kitu? Kikwete ndo alikua msanii...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT - Wazalendo kuhusu Mgombea Urais, Prof Anna Mghwira kuwa mgombea

    Hawa wanafanya maigizo ya siasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii na pesa za CCM

    Definitely wasanii wamekua organized kupost hizo Picha, alafu wote wameanza siku moja na Picha zimekua edited from one source, the question is wanapost kwa mapenzi yao? Au wamashinikizwa? Who is behind this?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii na pesa za CCM

  10. M

    JamiiForums Tanzania Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Huwa tumezoea kuona Ndege za jeshi zikifanya mazoezi wiki moja au mbili kabla ya public holidays. Lakini leo tarehe 19/08/2015, toka asubuhi anga letu hapa Dar limezungukwa na Ndege, kila dakika zinapita, alafu isivyo kawaida leo zinapita chini chini saaana, zinatushtua na kutupigia kelele...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete fanya hiki Dr. Magufuli apate kura za waalimu

    😂😂😂😂😂😂😂👯👯👯👯👯
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

    Jamani hizo naamini ni strategy za ushindi za UKAWA, Dr. Slaa sio mjinga akaondoka Chadema dakika hizi za mwisho kuelekea Ikulu. My instinct tells me ataibuka siku ya kumtangaza mgombea wa UKAWA, alafu hapo wazee wa goli la mkono watabaki bila story
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ITV haitangazi habari za ACT-Wazalendo?

    Kwani ACT wanahabari gani ya kutangaza? Au unataka watoe matangazo yakisema "jiunge na ACT"?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Swali hili nimeulizwa sana wakati wa kufanya mapenzi

    Ha ha ha, swali linamaanisha uko na changudoa hapo bed.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Kikwete, Nape na Makonda wanasubiri nini?

    Ha ha ha ha, aliekuambia Lowassa atakua Raisi Nani?
Back
Top Bottom