Recent content by Mwanasayansi Kalivubha

  1. M

    JamiiForums Tanzania WANAKUPENDA KWA SABABU HUNA MSIMAMO

    Hahaha 😆
  2. M

    JamiiForums Tanzania WANAKUPENDA KWA SABABU HUNA MSIMAMO

    #.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole. #.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu. #.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu. Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo. Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani Mwenye msimamo lazima kuna watu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukivaa miwani chafu utawaona watu wachafu, hata shati jeupe utaliona limefifia

    KUNA HAJA YA KUJUA KASORO YAKO KWANZA KABLA YA KUORODHESHA ZA WENGINE ILI UJUE SHIDA NI WEWE AU WAO? WATU WENGI HATUWAONI KAMA WALIVYO BALI TUNAONA KAMA TULIVYO SISI ✍️ KILA MTU UNAMUONA MWENYE KASORO KWA SABABU WEWE PIA UNA KASORO YA NAMNA UNAVYO WAANGALIA✍️ UKIVAA MIWANI CHAFU UTAWAONA...
  4. M

    JamiiForums Tanzania MUDA WA KUONDOKA UKIFIKA ONDOKA UKILAZIMISHA KUBAKI UTAFUKUZWA KWA AIBU

    JIFUNZE KUTAFASIRI MAZINGIRA,ISIWE NI KIPINDI CHA KUTOKA WEWE UNANG'ANG'ANIA KUBAKI ✍️ WENGI TULIZAMISHA KUBAKI SEHEMU TUNAZOTAKIWA KUTOKA TUKAISHIA KUPOTEZA MUDA NA HESHIMA 😔 MAZINGIRA HUZUGUMZA NA UKIJIFUNZA KUYAELEWA UTAEPUKANA NA TATIZO LA KUPOTEZA MUDA ✍️ MUDA WA KUONDOKA UKIFIKA...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kumpeleleza mchumba wangu Facebook

    HADITHI TAMU SANA YENYE MAFUNZO MAKUBWA! NAJUTA KUMPELELEZA MCHUMBA WANGU FACEBOOK 1 SEHEMU YA KWANZA “NAPOKEA FRIEND REQUEST” Ilikuwa Jumapili nikiwa nimetoka ibadani nimetulia tu kitandani kusaka utulivu wa nafsi, masaa sikuwa nayakumbuka vizuri ila nachokumbuka tu ni kwamba nilikuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unapotafutia riziki pana adui wengi kuliko unapoishi, kuwa makini sana

    Usijisahau ukasema una marafiki wengi kazini , kuwa makini sana. #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha Karibu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuku ana mbawa ila hajui kuwa kazi yake ni kuruka na hataki kujifunza kuruka, karidhika 😊 kataa kuwa kuku ✍️

    Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha! Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna makombo kwa sababu tu alikuta wenzake wakifanya hivyo, na amezoea mazingira hayo. KATAA KUWA KUKU...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huyo unayemfanyia fitina kazini anategemewa na watu zaidi ya 5 hiyo laana ya ukoo mzima haitokuacha

    Unapomchafua jina lake kwa lengo la afukuzwe kazi si yeye tu unamdhuru bali Unadhuru watoto, wazazi, na familia nzima inayotegemea jasho lake. Kizazi chake chote kitakuchukia Malenga wa Kiha Mwanasayansi Saul kalivubha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawapo kwa ajili yako,wapo kwako kwa manufaa yao siku ukibaki wewe utaelewa hili

    pale unapougua, pale kazi inapokwama ndipo utajua ni nani alikuwa na wewe na ni nani alikuwa na kile ulichokuwa nacho. Huu siyo uchungu bali hii ni uchujaji wa asili. Mungu wakati mwingine anakuruhusu "ubaki wewe" ili akufundishe somo ambalo vigelegele haviwezi kukufundisha. Unapobaki wewe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kujifariji sana ni njia nyingine ya kukwepa kujiambia ukweli

    Tena ni njia iliyojificha vizuri mno kwa sababu inakupa utulivu wa muda mfupi huku ikikuepusha na maumivu ya ukweli unaotakiwa kuukabili. Unapojifariji kupita kiasi, unakua unatengeneza "mto laini" wa kulalia ili usihisi ugumu wa mazingira uliyopo. Ukweli mara nyingi unachoma na unahitaji...
Back
Top Bottom