Recent content by MwanaPekee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Kaka Pascal Mayalla, kweli unamjua vizuri Membe

    Bado mnamjadili huyu mtu aliyejifia?
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto 2015 ulikataa UKAWA, why leo utake Coalition?

    Kwa kweli mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la Bernard Kamillius Membe kisiasa limekaribia

    Kwa kweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Asingekuwa Rais Magufuli barabara zetu zingekuwaje kwa sasa?

    Akili tope
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Kwanza: Huu ndio uelewa duni wa Jasusi Mbobevu Membe

    Wewe ulionaje?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Upeo wa kisiki cha mpingo ni Kanda ya Kusini tu

    Mnachekesha sana. Kweli mnasikiliza halafu mnameza kama dodoki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Russia reopens flights to Tanzania

    Kama huwezi hata kusearch kidogo tu huo ni udhaifu wako. Ungeweza ona references nyingi sana hasa kwa Paragraph ya kwanza. Ukiangalia Paragraph ya mwisho haihitaji upewe source, source yake ni aliyeleta uzi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Russia reopens flights to Tanzania

    Hold on a little longer
  9. M

    JamiiForums Tanzania Russia reopens flights to Tanzania

    Ubashiri wao ushaingia mrama. Eti huyo Mwanadiplomasia wao mbobevu alisema tutatengwa. Hakuna atakayetaka kuja Tanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania Russia reopens flights to Tanzania

    Wazo zuri sana. Tusilale, wakija kusimama sisi tutakuwa tayari tunakimbia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Russia reopens flights to Tanzania

    Following the decreasing number of corona virus infections, Russia has reopened flights to three destinations in the world. These destinations are Britain, Turkey, and Tanzania. Russia is among the top tourist feeder countries to Tanzania. Following this decision, Yandex Search Engine has...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Upeo wa kisiki cha mpingo ni Kanda ya Kusini tu

    Eti kiprofesa, My God, My Lord! Mtu hajui hata kama yuko wapi unasema anaongea kipro. Credit anatoa kwa UWT na CDM unasema anaongea kipro? Yaani hana hata kumbukumbu, na ndio maana recently alisema Lowassa amehamia upinzani mwaka 2010. Lakini yawezekana anaowahutubia wana akili kama zake au...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Upeo wa kisiki cha mpingo ni Kanda ya Kusini tu

    Nakusemeaje wewe mtu wa Kusini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Upeo wa kisiki cha mpingo ni Kanda ya Kusini tu

    Jana Kisiki cha Mpingo kimepokelewa ACT-Wazalendo, na leo hii kimechukua fomu za kugombea Urais kupitia chama hicho. Katika hotuba yake wakati kikipokelewa ndani ya chama hicho, mbali na makosa ya ufahamu wa mahali kilipo, kilionesha uelewa mdogo sana wa Tanzania hii. Mara zote kikitoa solution...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

    Usinilishe maneno, hakuna mahali nilipotumia neno HAKUTEGEMEA. Najua Kiswahili vizuri sana, na halina synonym kwenye maneno niliyoyatumia kwenye post yangu.
Back
Top Bottom