Hivi ndugu, hizo milioni 398 Si zingeweza kusaidia hata kule hospitalini maana madawa hamna na mambo ya msingi watu wanayakosa huduma za kijamii.
Hivi tujiulize hao wanaopata hapo milioni100, wengine 21 ni kutokana kwa kipi haswa walichokifanya mpana wapaye pesa zote hizo?? Haya ni matumizi...
Hii mbona inawezekana, sema tu labda wote mume na wake zake wawe wachaMungu hapo ndo wataishi ivi.
Maana siku hizi unakuta watu hususan wake wenza wanagombana sababu kubwa ni kutokunshiba Mungu, na baadhi ya wanaume nao pia wanakosa kutenda haki kwa wake zake kwa usawa, mfano akimpa bi mkubwa...
Kama haikuwa ya Bukoba, mbona maneno aliyokuwa anayasema yalikuwa yanaihusu Bukoba?
Inawezekana kweli ITV wameonyesha picha siyo, na maneno pia wamemtengenezea? be seroius ndugu.
Anaweweseka huyo, walishazoea kusema oooh Lowasa mgonjwa hawezi hata kushika hata mike Zaidi ya moja na wakiwa wanamfananisha na Magufuli. sasa leo wameona mzee ameshika mike Tatu mkononi.
Hakuna aliye kuwa msafi, ila ccm tokea miaka ya 60 ambapo inamiaka Zaidi ya 50 ktk kushika dola lakini mabadiliko waliyo yaleta hayaridhoshi hivyo ni bora wakae pembeni tuwape na wengine tuone watafanya nn. Na hiwezi kusema ukawa hawawezi kuleta maendeleo au hawana uwezo wa kuongoza nchi kama...
Mmmmh!!! Mijini watu wanajitambua sijajua kwa ndugu zetu wa vijijini, maana hivi kupewa wali maharage kunaweza kupelekea kuuza kura zao kweli?? Mabadiliko yanahitajika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.