Recent content by MwanaNkasi

  1. MwanaNkasi

    Vijana wa CCM, wamemuomba Msajili wa Vyama kufuatilia na kuchukulia hatua vyama vya siasa vinavyojipa mamlaka za kimahakama

    Vijana wa CCM, wamemuomba Msajili wa Vyama vya siasa nchini kufuatilia na kuchukulia hatua vyama vya siasa vinavyojipa mamlaka za kimahakama kuhukumu makosa ya jinai. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti Mstaafu UVCCM Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), Frank Mwandi ========= *_BARUA KWA MSAJILI WA...
  2. MwanaNkasi

    Fatma Karume Yamkuta Twitter, Ni Baada Ya Kusema Hajasomeshwa Na Serikali Ya CCM

    Sorry to say this , kuna siku nmehudhuria uzinduzi wa Report moja ya tafiti hivi karibuni kwa bahati nikakutana na huyu Dada Fatma binafsi nilitarajia kuwa atakuwa mtu mwenye uwezo mkubwa sana katika kujenga hoja lakin nilichokiona niliishia kushangaa tu, fortunately nilikaa na vijana wawili wa...
  3. MwanaNkasi

    UDSM: Siri ya kiongozi wa CHADEMA kuanzisha fujo wakati wa kusikiliza kesi ya Uchaguzi DARUSO

    IN THE OFFICE OF JUDICIAL ORGAN DAR ES SALAAM STUDENTS ORGANIZATION (DARUSO) ELECTION APPLICATION NO______ OF 2018 BETWEEN EVARIST MATULANYA ……………………………………………..………APPLICANT VERSUS DARUSO Electoral Committee Chairperson……………………… 1 ST RESPONDENTS DARUSO Electoral Committee Secretary…….…………………...
  4. MwanaNkasi

    UDSM: Siri ya kiongozi wa CHADEMA kuanzisha fujo wakati wa kusikiliza kesi ya Uchaguzi DARUSO

    we mhadzabe acha upuuzi hyo taarifa haijawekwa clearly na hyo info rmer lakin kuna mambo ndani mwenye akili timamu anaweza kuelewa yanayoendelea
  5. MwanaNkasi

    UDSM: Siri ya kiongozi wa CHADEMA kuanzisha fujo wakati wa kusikiliza kesi ya Uchaguzi DARUSO

    we mhadzabe acha upuuzi hyo taarifa haijawekwa clearly na hyo informer lakin kuna mambo ndani mwenye akili timamu anaweza kuelewa yanayoendelea
  6. MwanaNkasi

  7. MwanaNkasi

    UDSM: Siri ya kiongozi wa CHADEMA kuanzisha fujo wakati wa kusikiliza kesi ya Uchaguzi DARUSO

    Waambie wasome hao, hasa hao wa chadema wanao potezwa na kijana Charles William
  8. MwanaNkasi

    UDSM: Siri ya kiongozi wa CHADEMA kuanzisha fujo wakati wa kusikiliza kesi ya Uchaguzi DARUSO

    kabisaa,hapo na serengeti ya saba, arrangement tu ila ujumbe wote una ukweli ndani yake kama unabisha fanya uchunguzi
  9. MwanaNkasi

    UDSM: Siri ya kiongozi wa CHADEMA kuanzisha fujo wakati wa kusikiliza kesi ya Uchaguzi DARUSO

    Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anaedai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi. Aliyekuwa Mwenyekiti wa...
  10. MwanaNkasi

    UDSM: Siri ya kiongozi wa CHADEMA kuanzisha fujo wakati wa kusikiliza kesi ya Uchaguzi DARUSO

    Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anae dai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi , aliyekuwa Mwenyekit wa...
  11. MwanaNkasi

    UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    umesema vyema, na hata wao wanajua ukweli , hii taarifa imeandaliwa na Charles William (mfanyakazi wa saed kubenea ) baada ya kufanya kikao yombo cafteria ( udsm) juzi , very poor
  12. MwanaNkasi

    UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    mtu hatarii?! Hizi propaganda hizi, Charles William kijana wa kubenea ndie anaeendesha propaganda hizi kuficha ukweli
Back
Top Bottom