Recent content by mwanankali

  1. M

    TANZIA John Nyerere afariki dunia

    Mtoto wa muasisi wa Taifa anafia Muhimbili wakati walugaluga wengine wasio hata na chembe ya mchango chanya na nchi wanapelekwa nje ya nchi, SHAME KWA WALIOPASWA KUMTIBU NA KUMPATIA TIBA STAHIKI:
  2. M

    Vodacom Tanzania responds to Fraud Allegations posted Online

    nchi ya majanga hii, CAG APEWE KAZI KUKAGUA HILI SAKATA
  3. M

    Kim Fute pamoja na Felix Mrema wageuka kivutio msibani

    surerly politics a dirty game
  4. M

    Katika wale Majambazi waliodakwa, mmoja katoka kuvisha Pete ya uchumba

    hakika ndoa hakuna hapo tena, tena ni bahati yao vijambazi barbaro ingekuwa ni Arusha au Moshi wote hao saa hizi wangekuwa chumba cha kuhifadhi maiti.
  5. M

    Maajabu katika Website ya Bunge

    hiyo ndio Tanzania, nna hakika hata ukiingia ya nishati na madini wizara utaambiwa waziri ni Sospeter Muhongo
  6. M

    Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Hope atapewa dhana na mambo yataendelea sio mwisho wa dunia.
  7. M

    Mmiliki wa Tella Maande Hotel Arusha afariki ajalini

    Chris Maeda Mungu AKUPE PUMZIKO LA AMANI KAKA
  8. M

    Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Hizi kauli za kubadikabadilika kila siku tushike lipi hasa?? Ngoja tusikie sasa kauli ama tamko la masheikhi, kwanini tunakuwa na uongozi wa ujanja ujanja tusinyooshe maneno kila mtu aelewe?:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
Back
Top Bottom