Recent content by mwananganya

  1. M

    Hotuba ya dhihaka!

    Nawapa pole sana wahanga wote wa maafa yaliyotokea gongo la mboto thank you for this post( mwandishi). nasikitishwa sana na jinsi binaadamu tulivyoamua kuwa wanyama tunapoamua kutumia nafasi za maafa kama hivi kuongeza majeraha kwa waathirika wa mabomu, hapa naongelea vibaka waliovamia mali za...
  2. M

    Tafakari ya leo

    Habari ya leo ndugu zangu. Ni mara yangu ya kwanza napost coment kwenye ukumbi huu. wanasiasa wote ni baba mmoja mama mmoja au niite ni sawa na identical twins, kabla hawajachaguliwa hupiga porojo nyingi sana kutaka waonekane wao ni bora, wakishachaguliwa sijui wanapewa maji ya ''bendera''...
Back
Top Bottom