Recent content by MwananchiOG

  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga yamtimua kocha wake mkuu Romain Folz baada ya kichapo kutoka kwa Silver Strickers

    Jambo jema. Haiwezekani kocha amamtegemea Andambwile, Chikola na Edmund John kwenye mechi muhimu! Hao ni wachezaji wa kucheza na Kagera sugar na Pamba sio kwa continental games.
  2. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Haiwezekani Kocha anamtegemea Andambwile kwenye mechi muhimu! Best decision kwa club 👏
  3. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Kila la kheri chama langu Young africans Sc 💚💛💚💚 #DaimaMbele 💚💚💚💚💚 #NyumaMwiko💛💛💛💛💛
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kibongo bongo ukinywa hizi pombe ni kama unaonekana mtu ambaye umefulia na umejikatia tamaa ya maisha

    Kuna boss wangu tajiri sana lakini muda wote yupo na balimi kama sio double kick😀😀😀
  5. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

    MUNGU saidia Gaborone washinde 4 bila
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Naangalia marudio Kibu anafanya makosa yale yale anakosa tena daah
  7. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwa Kutumia Numerology Simba Kesho itashinda

    Mwasibu mwingine
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa tabu tena?

    Kwamba striker tegemezi ni Kibu, mukwala na namba 10 tegemezi ni ahua na mpo serious mnataka kuchomoka mbele ya Pacome, Mzize, Nzengeli, Ecua?? ACHENI UTANI 🤣
  9. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Simba tunashindana na Utopolo,Chama na Serikali ni Ngumu sana kutoboa kwa maelekezo toka Juu

    Serikali ndiyo imekosa magoli ya wazi zaidi ya mara tatu?
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

    Kwani 5imba wamewahi kumiliki akili??🙄
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Naangalia marudio 5imba wanafanya makosa yale yale daah
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwa Kutumia Numerology Simba Kesho itashinda

    Kweli imeshinda njaa🤣🤣🤣
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kuna watu mlitegemea Kibu, Ahoua ndio wafungue defence ya Yanga? na mbinu zilizokuwa zinasemwa Simba Day ndiyo hizi au zingine?

    Mwenyewe huwa nashangaa, Timu ambayo namba 10 tegemezi ni Janshale na striker ni Mukwala🤣🤣🤣
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    5imba wafanye nini kipindi cha tatu?
Back
Top Bottom