Recent content by Mwananchi Mtanzania

  1. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    Well, If you thought I take any sort of alcohol or brew, you r wrong my friend... Perhaps you should attend "being polite" classes. SHAME
  2. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    And so what? Kwani ni makosa maprofesa maprofesa kua ndugu? Peleka watoto shule mwana...
  3. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    Inaelekea humfahamu Prof. Possi. Kwanza hajawahi kua waziri, pili amekua Prof. Miaka mingi iliyopita, tafuta reccords vizuri. Wakati anateuliwa kua Mkuu wa TSJ na Ben Mkapa, tayari alishakua Prof. Upo?
  4. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    Well, if you thought you were very clever, you couldn't, from the start, expose ur stupidity.. SHAME!!
  5. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    tutajie basi mtu wako... kwani hiyo TSJ nani aliiunganisha na UDSM? si ilikua kama shule ya msingi, au?
  6. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    haya na wewe tuambie umefanya nini ili tusikuita bogus... au tupe mtu unayetaka akae hapo... watanzania maneno meeengiiiii............
  7. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    usimuingize mama wawatu katika hicho unachotaka kukianza... Kama wamekutuma wenzio, mwenzako kaona mwanga wa shule, na hayo yakwako wala hajihusishi nayo
  8. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    And so what? Kwani pale UD kuna maprofesa wangapi ndugu, tena wapo waliooana... inamaana wasipewe vyeo kama wana qualify?... jitahidi na wewe uwe prof upate cha kwako... utaishia kuhesabu ndugu tu...
  9. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    .................
  10. Mwananchi Mtanzania

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    Jokes ni relative. Inategemea uko wapi, na uko na nani. Wengine wanataka mpaka mtu afunge matambara tumboni, jambo ambalo mini naona ujinga. Mwingine political commedy ya mtu kama Jonathan Mann, haelewi, anaelewa za Mr. Binn. Mwingine comedi kwake ni ya Masanja mkandamizaji... Wakati mwingine...
  11. Mwananchi Mtanzania

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    Mwenyewe amesha tweet kwamba ni "joke"... basi watu wasitanie hata kwa sekunde..!! Sawa bungeni is a serious place, lakini watu ndio wasicheke? Niambie bunge gani duniani hamna mtu aloyewahi kutoa jokes!
  12. Mwananchi Mtanzania

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    jamani.... tujaribu bas kujikosoa: katika hali ya siasa za sasa, mbunge mpinzani akisema tu walau maneno mawili tofauti na ya mwenzake, watu wana tafsiri kwamba "kuna kitu". Sasa ili kuweka reccord sawa, asionekane kwamba "amedharau", wakati mwingine ni lazima awe accountable kwa watu.... Mimi...
  13. Mwananchi Mtanzania

    Mbunge,mchungaji LWAKATARE aumbuka bungeni

    The Gospel Ltd: Fire Ministries comes under fire - YouTube
Back
Top Bottom