Akili ndogo za kinyaninyani ama kweli nyani ni nyani tu. Simba kacheza nusu fainali Klabu Bingwa Afrika mwaka 1974 na kutolewa na Mehala Al Kubra walioenda kuwa mabingwa mwaka huo. Wewe Yanga nusu fainali Klabu Bingwa Afrika umewahi kucheza lini? Tumbili bhana wako kitumbilitumbili na juu ya...
Jibu kutumia akili hizo fedha alizoanza kutoa mama alipewa Yanga pekee? Simba hakuwa akipewa ? Alikuwa nusu final? Hoja ni kwamba why Mama aanze mwaka huu baada ya Yanga kuchomoka makundi ya CAFCC wakati Simba kafanya vile miaka miwili mfulilizo kabla ya Yanga na hatujuona fedha toka kwa Mama...
Unaposema fainali kwanza mashindano yapi? Hukuwa na Simba klabu Bingwa Afrika? Ulitolewa huko lini? Ukaponea kanuni za CAF kwenda kucheza kwa wabovu unaropola nini? Kuna timu yeyote ya maana umecheza nayo huko uchovuni?
Tusijibu kama hatuna uelewa. Naongelea seasons alizokuwa anacheza Simba bila Yanga kuwepo Mama alitoa pesa? Talking back 2022 na 2021. Mpaka Yanga aje ndipo motisha zitoke? Mambo ya ajabu sana haya
Soma hoja siyo kuita names, kocha wenu alipowaita manyani vipi? So nipo mwanafamu najadili na nyani kima na tumbili? Apes from Jangwani? Tafadhali sana. Nasema hakuiona Simba na kutoa motisha ilipokuwa inashiriki mpaka kasubiria wachovu Yanga ndiyo aanze motisha?
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga
Ni jambo la kushangaza Mama ana miaka 3 madarakani na katika muda huo kaikuta Simba ikishiriki mashindano haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.