Recent content by mwanamtwa nguvukazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wabunge wa Tabora wanafanya nini bungeni?

    Hata wahenga walishapata nena "mzigo mzito mkabidhi mnyamwezi"
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ambulance na Chopa za CHADEMA bado azijafika kutoka Uingereza au ilikuwa usanii wa Lema

    Una kirara eeh? usihanye cyo dili kama la chechemea kuchomoa mpunga B.O.T na account inayofunguliwa asubuhi jioni zinawekewa mafweza. zitakuja tu. hilux za m4c zinawahenyesha sembuse helkopta?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa Makuyuni-Monduli (CCM) afariki Dunia

    :rip: dIWANI. kazi ni kwao kwa wananchi wa kata ya makuyuni wilaya ya Monduli, WACHAGUE GWANDAAMA GAMBA. yaan hapo ni LEMA vs LOWASSA.
  4. M

    JamiiForums Tanzania LEMA ahame chama?

    loading...................!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

    mgonjwa ameanza kutapika kila akilacho, cjui wanaenda wapi hawa wazee wa jembe na nyundo enzi hizi za marobot, computer na ulimwengu wa digitali kwa ujumla.
  6. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

    Dah! kashapoteza ajira tayari. ila serikali ikae ikijua kuwa watu wamechoka kila mahala na sasa wajipange kurudisha imani kwa wananchi wake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    fukuza kundi zima hili, lina tamaa na matumbo yao binafsi swala ni utaifa wao wanatuletea kuvuruga chama. nyambafu zao.
Back
Top Bottom