Recent content by mwanamimi

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO UDSM Wafunga Vyoo vya Umma Kutokana na Ukosefu wa Maji

    Aisee hii ni janga kuna siku mvua ilinyesha nipo hapo nimejikinga, hapo maji yalikuwa mengi , nikajiuliza hawawezi kubuni mfumo wa kuhifadhi maji, mfano kule chini barabara ya kwenda shule kupitia geti la mugufuli hosteli, kuna kabwawa maji yote yanaishia hapo kisha kwenda mtoni. wangeweza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuelimishane: Mbunge huyu anayewakilisha wenye ulemavu atakuwa anatoaje hoja bungeni?

    Sheria na kanuni za bunge haziruhusu mtu asiyehusika kuwepo ndani ya bunge hivyo kumemfanya mkalimani wake kushindwa kuwepo ili kumkalimia.hata hivyo wanafanya utaratibu kurekebisha vifungu ili mkalimani aweze kuruhusiwa kumsaidia huyu mama.
  3. M

    JamiiForums Tanzania APPRECIATION: Asanteni sana JWTZ walau kwa hicho kidogo mlichofanya

    Bila hao Hali ingekuwa mbaya zaidi.maana ilifikia hatua vijana hawaogopi risasi
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    Huku mwanza . kisesa, mpaka sinai hakukaliki, wamepiga risasi watu juu ya milima wanawazomea,kilichofuata ni palakashika, machinjioni hakukaliki, JWTZ wamekuja na kufaru ndio wametuliza wanaichi wakaandamana nyuma ya gari za jeshi kufika sinai hapo mbele kituo cha polisi kimepigwa mawe mno...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    mkuu lucas huku kwa ground mambo sio shwali , risasi zimepigwa tangu usiku na baadhi ya watu wamepigwa risasi lakini ndio kama wanachochea moto. bado mambo sio shwali. acha uchawa, mpaka polisi wanatangaza wanainchi wasiharibu ofisi za umma.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna maandamano tena itakuwa siku tulivu mno

    Nilikuwa nachukulia kawaida lakini mkuu mambo ndivyo sivyo.usipuuzie
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna maandamano tena itakuwa siku tulivu mno

    mkuu kama kuona auoni hata kusom.a majira na nyakati usomi
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    mkuu mshana mambo sio shwali kabisa ni gelesha ya wanaichi tu inasubiliwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025: Matukio na taarifa Mubashara za Uchaguzi

    Tupo pamoja kwa update mpaka mwisho wa dahali
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiiona Mwanza imekubali ujue ushindi unakuja. Hongera Rais Samia

    Mkuu kuisema mwanza unatuonea sisi wana mwanza, watu wameletwa kutoka, shinyanga, bariadi, ukerewe, musoma, bunda,geita, katoro, ngara, biharamulo,chato, nzega, tabora mpaka dodomo kwa ajiri ya kampeni tu. pia note this mwanza is loading
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu, fawanews vipi tena?Siku ya tatu hii naijatibu imegoma

    Imebaddilishwa kidogo.search FAWANEWS.SC.
  12. M

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NO REFORM NO ELECTION
  13. M

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

    wakuu mwenye link ya game live anitumie
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

    Mkuu wewe ni Mimi kabisa pale hear well clinic. Yule daktari aliniambia Mimi pia hivi hivi kwamba tunakupa Ila guarantee ya kupono ni nusu kwa nusu .
Back
Top Bottom