Recent content by Mwanambugulu

  1. Mwanambugulu

    Wakandarasi wenzangu miradi imeanza kufunguka, tokeni magetoni

    Urambo wameanza kuchukua? Ngoja niibuke mana hapa rabıta waturuki hawasomeki
  2. Mwanambugulu

    Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Kwaio mitume walikua dini Gani? Ulisema walikua waislam Napo uongo labda kama ulisema kitu kingine
  3. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Kwa njia hii hutoboi paka wakupe termination ndio unapewa pesa
  4. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Njia zipo sema wanabana connection humu
  5. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Wakuu paka saizi pm kuko kimya inamaana hakuna wapiga Dili? Daah basi ngoja tuenndelee kupambana kupata mitaji kwa njia ingine Ila alieanzisha kikokotoo ametuzingua Sana has vijana na wale wanaokomalia kikokotoo nadhani hayajawakuta au wana masrahi nacho Pia nimefatilia nasiki kuna ngazi...
  6. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Labda ilikua bahati yake mkuu au labda wenyewe ndio wakijichanganya Mimi pia nimeandika barua Tena mapema kabisa baada ya kuingiziwa pesa kwa mwezi wa kwanza Hauwezi kwenda na hasira wakati kwenye sheria wapi sahihi na wamenupa maelezo ya kutosha na Sheria injieleza wakanipa na nyaraka tatizo...
  7. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Boss unaanzaje kukataa wakati pesa inaingia bank? Baada ya pesa kuingia niliwafat ndio wakanipa hizo Sheri zao lakini nikawakomalia San kwamba wnipe hel zangu Mimi nikakomae na biashara zangu nikaandika hadi baraua makao makuu kuwaambia Mimi nilikua nafanya kazi kama kibarua tu lakini mwezi...
  8. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Bob wakati wa kuajiriwa Kuna mambo mengi ajira hakuna kwaio watu wanafanya kazi za ajabu Ili maisha yaende kwaio huwezi kusema Mimi nna degree alafu uajiriwe kama kibarua kwenye kampuni za ujenzi Kwaio unaenda kama darasa la Saba au form 4 Ukianza kufatilia mafao ndio wankupa form za kukaza...
  9. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Mkuu haya yameandikwa tu ila uhalisia tunajua wenyewe
  10. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Yaah walinilipa kwa kila mwezi yani mwisho wa mwezi kwa Mimi nilikua nachukua laki 2 kwa miezi 6 alafu baada ya hapo kama hujapata kazi basi unasubirbmiezi 18 kama Bado hujapat kazi unaenda kuwaomba uwe unajichangia paka ufikishe umri wanaoutaka wao Sasa laki mbili kwa mwezi unaishije? Alafu...
  11. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Nilifingulia tabora Dodoma ndio naambiwa hapafai labda kahama kina urahisi
  12. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    We ni mshenzi tu
  13. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Wakuu habari zenu. Poleni na majukumu ndugu zangu Mimi nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Waturuki inaitwa Yapi Merkezi inayojenga reli ya SGR ambayo kwa sasa iko lot 3. Kwa sasa kazi imesimama na hakuna kinachoendelea. Sasa sisi tulipumzishwa kuanzia mwezi wa kwanza kutokana na...
  14. Mwanambugulu

    DOKEZO Geti la mazao na maliasili pale Itigi mkoani Singida kuna watumishi wala rushwa

    Kwaio wewe ulikua lugha Gani ile maana ulikuwepo au sio
Back
Top Bottom