Recent content by Mwanamakunda

  1. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Nasikia Saashisha hataki madada poa, namuunga Mkono maana ni Laana kubwa sana. Dada Peno ukikataliwa inabidi ukubali tu
  2. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Kitwanga ungeanza kwa kujiuliza unapokunywa bia unalipa double au triple taxation? Lazima tulipe kodi bila kuoneana aibu, nchi inahitaji maendeleo

    Walevi kama kitwanga huwa hawaoni uchungu kulipa Double au triple taxation au zaidi ya hapo wanapokunywa pombe? Anaandika Erasmos Kwayu, Jana ameibuka waziri aliewahi kutimuliwa wizarani kutokana na ulevi wa kupindukia, Ndugu kitwanga, bila kuona haya anaisimanga serikali juu ya utozaji wa...
  3. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Kitwanga ungeanza kwa kujiuliza unapokunywa bia unalipa double au triple taxation? Lazima tulipe kodi bila kuoneana aibu, nchi inahitaji maendeleo

    Walevi kama kitwanga huwa hawaoni uchungu kulipa Double au triple taxation au zaidi ya hapo wanapokunywa pombe? Anaandika Erasmos Kwayu, Jana ameibuka waziri aliewahi kutimuliwa wizarani kutokana na ulevi wa kupindukia, Ndugu kitwanga, bila kuona haya anaisimanga serikali juu ya utozaji wa...
  4. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Tozo hazina maumivu makali, Wanasiasa uchwara mnatafuta kiki za kisiasa, mnashugulika na Mwigulu kwajili ya speculation za 2030

    TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni...
  5. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, Tozo hazina makali, wanasiasa uchwara mnatafuta kiki ya 2025, uko field Maendeleo yanaonekana

    TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnakesha mitandaoni...
  6. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni Kinyonga Mwenye sura Mbili, Wazee wa Machame wamuonya, Saashisha apewa heko

    MBOWE ALIPENDWA KWA HADAA ZA MANENO YAKE, SAASHISHA ANAPENDWA KWA UHALISIA WA MATENDO YAKE Na Manka Lema, Mwananchi Wa Jimbo la Hai Leo katika pitapita zangu na ka-starlet kangu nilitembelea kiwanda chenye historia kubwa mkoani kilimanjaro kiwanda cha Machine Tools kujionea uwekezaji mkubwa...
  7. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni Kinyonga Mwenye sura Mbili, Wazee wa Machame wamuonya, Saashisha apewa heko

    Unazungumzia hai IPI? Hai hii mpya ya Saashisha Mafuwe imeshabadilika, barabara, madaraja, viwanda na maji yameshaanza kufanyiwa kazi Mbunge anakaa vikao kila kona kuanzia losaa hadi soko la mula, Upareni hata shirimigungani Wewe unazungumzia hai ile ya ufalme uliofitinika. Kwa sasa wananchi...
  8. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni Kinyonga Mwenye sura Mbili, Wazee wa Machame wamuonya, Saashisha apewa heko

    NAKUANDIKIA SAASHISHA MAFUWE, UMETUHESHIMISHA Naandika Manka Lema, Mwananchi wako wa kata ya Muungano. Kaka kwashaa, Nakiri sikukupigia kura mwaka 2020, najuta,naumia lakini sitarudia kosa. Watu watakuwa wanajiuliza Kwanini najuta? Ngoja niwaoneshe, Sisi wananchi wa jimbo la hai tumesumbuka na...
  9. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni Kinyonga Mwenye sura Mbili, Wazee wa Machame wamuonya, Saashisha apewa heko

    MBOWE UMEZEEKA SASA, ACHA KUTENGENEZA ZENGWE JIMBONI HAI, WANANCHI WALISHAAMUA KWENDA NA SAASHISHA MAFUWE Na Rogan Swai, Narumu Blog Habari za Siku nyingi Mwenyekiti wa kudumu wa Chama chetu Cha Ufipa, natambua unaendelea na matibabu Kwasasa baada ya afya yako kuzorota Kwa muda Fulani, pole...
  10. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kumchafua Mbunge Saashisha Mafuwe wanaswa, Mbowe na Raia wa Sweden wahusishwa

    Mbowe ni Babu Kwa sasa amepoteza mvuto wote wa kisiasa katika Jimbo la hai ndio maana alikodi kwenye mapokezi yake, wanaHai hatumtaki Hivi Mbowe hajui kuwa Saashisha Mafuwe kasimamia Jumla ya Tshs 160,000,000.00 Fedha za UVIKO -19 zimepokelewa kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya Ujenzi wa Bweni...
  11. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Mwana-CHADEMA nguli ampinga Malisa GJ, amtaka amwombe Radhi Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe

    Alichoandika Malisa Leo juu ya Saashisha kimemshushia hadhi sana, nilikuwa mdau wa kuchangia sana kampeni zake za Facebook Ila Kwa hili kajiharibia hanipati tena
  12. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

    Sabaya hakuwahi kukifungia kiwanda cha Daren fabrics kama inavyopotoshwa na Malisa Godlisten, hapa chini naambatanisha video yenye ushahidi wa kilichotokea siku ya tukio, ambapo ndugu Speshoz mmiliki wa kiwanda hicho alikubali kosa la kutofuata utaratibu halali wa serikali na kukiri kuufuata...
  13. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya nakuhurumia, hukumjua Mbowe ni nani?

    SABAYA NAKUHURUMIA HUKUMJUA MBOWE NI NANI? Wakati unahangaika na mambo ya Ardhi, Mambo ya Qnet, Mambo ya Watumishi wa Umma, kutatua changamoto za wananchi wa Hai Tulidhani Dhamira yako ni ya kweli kumbe Target yako ni kutafuta wafuasi watakaokuunga mkono ili kumdhalilisha Mbowe. Kitu ambacho...
  14. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Makamanda peoples! Hawa watu waliusumbua sana uongozi wa kaka Freeman Mbowe kule hai Kilimanjaro, hawakuijua nguvu ya Kaka Mbowe hapa nchini sasa watajifunza namna ya kudeal na kiongozi wetu. Never Again
Back
Top Bottom