Recent content by mwanamabadiliko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Why Samia Anaiogopa Ikulu ya Dar?, je ndo rasmi Serikali imehamia Dodoma

    Bibi mkubwa hataki kwenda kwenye ikulu yake pendwa ya magogoni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Why Samia Anaiogopa Ikulu ya Dar?, je ndo rasmi Serikali imehamia Dodoma

    Samia anaigopa dar for true and sure
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tulipofikia kama taifa

    Mimi napata wasiwasi silaha sikianza kuingia Ndani ya nchi, mambo yatakuwa magumu mno
  4. M

    JamiiForums Tanzania Samia Sasa Haongozi nchi, KAZI yake sasa ni Kulinda Uraisi Wake

    Kazi tunayokubwa, nahisi Tanzania inaingia kwenye machafuko hasa baadhi ya vijana wakipata silaha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Samia Sasa Haongozi nchi, KAZI yake sasa ni Kulinda Uraisi Wake

    Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa. Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

    Naomba Mungu tuwe na jeshi la uasi la O29 kama lilivyo M23 la kupambana na Uzalimu wa Samia, kikundi hiki kitaendelea kupambana na Samia hata akiingia madarakani, wananchi typo tayari kujiunga
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kila sehemu wanatoboa makaravati, hata ambayo hazina shida, tenda za wakuu

    Sijui ni mradi wa kigogo gani, nimezunguka mikoa kama 15 Ndani ya miezi miwili iliopita, nimeona kuna miradi ya kuweka makaravati kwenye barabara kuu za kuunganisha mikoa na wilaya Najua lazma hii tenda atakuwa kajipa kigogo wa serikali lakini nikiti sina uhakika na hilo , lakini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waajiri wetu wametuambia tufungue account nyingine waingize mshahara, CRDB hovyo

    Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Andambwile Vs Kagoma who wins?

    Kumbe washikaji, kweli si washabiki wagombanishi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Andambwile Vs Kagoma who wins?

    Atii mchezo rafu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Andambwile Vs Kagoma who wins?

    Andambwile all time
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jayrutty na Simba SC wanasa Jezi Feki zinazosambazwa Mikoani, Wahusika wakamatwa katika Operesheni Maalum

    Nenda kafoji jezi ya GSM huoni, ni anakuua, ni mafia balaa, wenyewe wanaogopa. Sasa Nani anamuogopa jrutty
  13. M

    JamiiForums Tanzania FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Andambwile Red, wazee wa kubeti nawapa za ndani
Back
Top Bottom