Recent content by mwanalusazi

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madaktari wa Tanzania waweka rekodi mpya Afrika na dunia kwa ujumla

    umesahau tu kuwa hamtuzidi kwa kila kitu, mi nakukumbusha moja tu kwamba sisi tunawazidi kwa kiwango kikubwakufanya maamuzi mhimu kwa haraka bila ajizi mfano ni lile suala la bomba la mafuta kutoka Uganda kuja tanga badala ya Mombasa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge; Simai asema vyama vya siasa(CHADEMA) vinapewa fedha kuvuruga Amani

    huna sera kwani haya si mawazo yako bali ya kudanganywa japo umesema hudanganyiki!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge; Simai asema vyama vya siasa(CHADEMA) vinapewa fedha kuvuruga Amani

    kwani mirad isipo zinduliwa na haiwezi kuendelea na kufanikiwa? kama ndiyo basi hauna maana ya kuendelea kwani yale malengo ya mwalimu hayapo tena
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fedheha kubwa viongozi wa Mbeya

    hawa hawafai hata kuwa viongozi kwani maamuzi yao ni bora hata yangefanywa na walevi waliolewa chakali tungesema hizo ni pombe tu zikiisha kichwani watabadilisha maamuzi. badala ya kupunguza umbali kupata huduma wao wanawaongezea watu umbali.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa usaliti huu CHADEMA mtabakia wasindikizaji wa CCM milele na kamwe nchi hii hamtokuja itawala

    we una makengeza ndiyo maana unaona ccm wataendelea kuongoza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Saumu aomba ulinzi wa CCM!

    chadema ni chama cha ukweli na inteligensia yake inaishinda ccm na serikali hao kina swaum wanapoteza muda.
Back
Top Bottom