Wamekagua mfukoni ana kadi ya chama gani?Kadi ya chama atakayokamatwa nayo ndiyo itabainisha sura na rangi halisi ya chama na wanachama wa chama hicho.
Duniani umeishi saana haizidi miaka 100!Haya mambo ukifuatilia saana unaweza hata ukalazimika kufunguliwa faili pale Mirembe!!!!!
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Kuna watu kwa makusudi wameingia kwenye siasa kimakosa.Mbaya zaidi wakapewa mamlaka makubwa!Najiuliza tu hivi kazi ya mbunge ni nini?
Hivi huwezi kufanya siasa za kiustarabu ukiwa nje ya ccm?Nini maana ya mfumo wa vyama vingi vya siasa?Kwanini Kiongozi mmoja kasema kuhamia kwao mwisho ,,Disemba,?
Tatizo neno "Mfumo wa vyama vingi vya siasa"Limetafsriwa hovyo!Bro Makonda anajiona anajua kila kitu!Kitendo cha kuaminiwa na mtu mmoja mwenye mamlaka anajiona anajua kila kitu.Watu wakishakuwa na magwanda yao ya vyama hekima wanaipeleka likizo.
Kwa sasa wanafuata sehemu watakayokula mkate kwa Amani!Wengi si wanasiasa ni wapigania fursa!Wameipata na wanaitumia!
Halafu kwa mbaali naona ni mkakati ambao umesukwa kikamilifu.
Kama ni diwani amebaki na udiwani wake,kama ni mbunge amebaki na ubunge wake,kama alikuwa hana cheo amepewa!Tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.