The higher risk, higher the return. Risk iliyobebwa na vyama vya upinzani ni kubwa mno ambapo endapo vitashindwa kufuata makubaliano ni mpasuko kwao na ushindi wa miaka ya kutosha mbele kwa CCM. Should be fragily handled as its the bigger determinant for your existance
Ni jambo la kawaida na wala si la kushangaza kwa kigogo kutoka chama tawala au mwenye interest na chama tawala kuchukia muungano wa vyama UKAWA. Muungano huu ni nguvu kwa vyama vya upinzani na ni hatari pia kwao. Maneno ya kuhakikisha unadhoofika na nguvu ya pamoja inapungua ama kuwasambaratisha...
Zitto ana competence zake na hatuwezi kuzidharau mapungufu pia anayo km binadamu mwingine. Hatujadili tofauti hz zimepita ss tunatazama mbele kuleta mabadiliko. Usaliti na mengine yote yamepita UKAWA ni Tumaini letu wote. Zitto na wote tuunganishe nguvu twende mbele kuna watu hapa wanaongeza...
Atakaye shindana na malengo ya pamoja ya UKAWA kimsingi ni mtu asiye na nia njema na wananchi bila kujali anaongea nn. Km ni mapungufu tuyaseme kuboresha UKAWA na su kuponda nguvu iliyowaleta pamoja.
Kwa hili tuaenda mbali na kutazama maslahi pana ya Nchi, Tofauti ya Chadema na Zitto haina...
Salary slip una akili sn kaka. This is how we should do kuwaondoa wenye pesa zao watuachie nchi yetu. Walifanya makusudi tusipige kura vyuoni sasa hii kitu ijengewe mkakati mapema kabisa. Biashara asubuhi jioni you count your bleesings
Vijana tusijidharirishe kujionesha umwamba kuwatumikia wenye fedha kwa ujira wa siku moja au mbili na kisha tunarudi kwenye msoto. kwa kufanya hivyo tunawaumiza watoto wetu, wadogo zetu na hata hatutendei haki fikra hai tulizonazo. Mabadiliko ni Lazima na Mpinzania wa mabadiliko ni Mpinzani wa...
UKAWA Go.... Unapoona kijana anateteta magamba ana njaa ya madaraka akitazama fadhila ya kesho kutoka kwa wenye vijisenti. Hili limewadharaulisha na wanaonekana kama si watu wenye mapenzi mema na nchi yetu. Wakati umefika na muda wa mabadiliko ni sasa. Ukimkataa Tundu Lisu unamtaka mtu kama...
Union is the only mission remained to silence CCM. Tuungane na tuwe na sauti moja, itikadi moja na sare moja bendera moja. Consultant yuko wapi alete mambo haya. Tanganyika come come again
Ngoma ikilia sn lazima ipasuke tu. Its shame for I being seen as a stupid creature existed to give a path to those who decided to become leaders. being quit am not valued and sounds that I don't require more than what I have. some take even a little that I struggled to get. Uvumilivu huu hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.