Recent content by Mwanaharakati2013

  1. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Kweli mkuu, tatizo watu wengi hawajali au kutambua nini madhara ya kuwa na uzito uliopitiliza. Bado wana mentality kuwa ni prestige.. Tuna changamoto kubwa sana kuibadili jamii. Na hii tabia ya kuendekeza pombe na nyama hususani red meat inabid tubadili. Kila kitu kifanywe kwa kiwango..
  2. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Amen, Asante kwa neno.
  3. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    You are very right Mkuu, being overweight is a serious problem. The public need to be addressed on how to live and eat healthy. Non Communicable Diseases are preventable we can avoid them by changing our lifestyles
  4. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Heart attack? Too bad. May his soul rest in eternal peace
  5. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania Viwa X7 inauzwa kwa 170 tu

    Chukua 120,000 mkuu
  6. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania Picha: Nauza Sony Experia murua kabisa

    Haiwezekani kabisa
  7. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania Picha: Nauza Sony Experia murua kabisa

    Oooh really!!
  8. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Kuna haja ya kutoa elimu ya lishe kwa jamii
  9. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania Nahitaji smartphone

    Nahitaji smartphone budget yangu ni 150,000. Mwenye nayo anitumie specifications zake. Thanks
  10. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania Huawei ascend g730 for sale

    Mkuu mi nna 150k kama bado ipo nicheki inbox
  11. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania Huawei y530 iko sokoni

    Bado ipo?
  12. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Mpe hongera sana, mi nilifanya food registration officer sijapigiwa
  13. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Umeitwa oral Mkuu? Wameshaita posts zote?
  14. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Aisee... Hongera zake. Mi nilifanya food registration officer written, bado naona kimyaaaa
  15. Mwanaharakati2013

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Ya kweli haya Mkuu?
Back
Top Bottom