Kikundi cha wapambe wa Bugomola Mwenyekiti wa Halmashauri ya Geita Mji Leo kimepewa Mkopo wa Shilingi 163,025,000/= pesa za Halmashauri ya Mji wa Geita, Akipokea Mkopo huo na Gari Mpambe mkuu wa Bugomola Bwana Gabriel,
Pesa hizi ni takwa la kisheria hasa sheria ya fedha ya Mwaka 2018 sheria...
Wana Jamvi habari
Leo nimeamua kuwaletea habari ambayo ilikuwa inazunguka kwenye mitandao us whatsapp juu ya Elimu ya Habibu Mchange ambae amesomea chuo kikuu cha dodoma (UDOM) Kwa mjibu wa Taarifa za ndani kutoka udom habibu machange alidisco akiwa mwaka wa kwanza yaani Hakufikisha GPA ya 2:0...
Kutoka ukurasa wa Twitter wa Mchokozi Ole Mtetezi
Vijana Watano Wa Wilaya Ya Ngorongoro Wana Hali Mbaya Kutokana Na Vipigo Na Ukatili Waliofanyiwa Na Askari Wa Jeshi La Polisi. Vijana Hao Walikamatwa Na Polisi Tarehe 20/12/2018 Kwa Madai Ya Wizi, Wakiwa Rumande Polisi Waliwachoma Miguu Na...
Wanajamvi ninaombeni niwaulize huyu Mhere mwita anacheo gani chadema kipi kiwango chake cha Elimu, mbona adhamini afya yake anazunguka na magongo kwenye siasa Mara yuko tarime Mara dar hana kazi tofauti na siasa yeye mda wote ni chadema tu. Ninaombeni ufafanuzi wadau mnaomfahamu huyu mtu...
Wadau Leo nimeamua kuuandaa Uzi huu ili kumtahadharisha huyu Mwenyekiti wa Bavicha wilaya ya Geita Ndg Mhere Mwita ambae hivi karbuni amekuwa Gumzo iwe Sokoni, kwenye vijiwe vya kahawa na stendi wanamzungumzia yeye.
Siku za hivi karibuni amekua akuzungumzwa sana na watu wengi katika wilaya ya...
Wadau kesho ijumaa wanafunzi WA College zote za udom yamebaadikwa matangazo ya Maandamano mpaka kwa waziri Mkuu Mzengo Pinda kupinga Maamuzi ya utawala ya Chuo kuingilia tume ya Uchaguzi ya Federation na kuleta Mgombea Mmoja ambaye anatakiwa apigiwe Kura ya ndio au hapana kama kipindi cha Enzi...
Ndugu wanajavini college zote za Udom Leo yamebandikwa mabango ya matangazo ya siku ya Ijumaa wote kuandamana mpaka kwa Mheshimiwa waziri Mkuu WA Tanzania Mhe Mzengo kayaza Peter Pinda kumpelekea Malalamiko Yao ambayo siku zote wamekuwa wakikandamizwa na utawala WA Chuo hicho,
Wanafunzi hao...
Chenge Ana tibaijuka na hilo jambazi la kihindi seth wanafaa wapigwe kitanzi bila kumsahau Jaji werema Maswi, Mhongo na pinda wanatakiwa wapigwe kitanzi maana ni wezi
pamoja sana kiongozi mtoa post anamtetea jambazi la kimataifa singa singa bila kujua chochote anaweza kutuambia kikao kilicho kaa kunduchi hotel kuliafanya nini kuhakikisha pesa zao watanzania ninakwenda Tibaijuka na Chenge humu hawatoki pamoja
Be a critical thinker hao wahisani waliokuwa anagombana kwa sababu ipi na ni lini na niwakina nani wewe haujui kitu imepewa hela utete mafisadi huu mgogoro ulikuwa ni Kati ya Tanesco na iptl tena ulianza mwaka 2004 account ikafunguliwa mwaka 2006
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.