Recent content by mwanaharakati mamba

  1. M

    Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

    Hakuna cha ajabu mdau. Kwani hujaishitukia Star Tv mpaka sasa?
  2. M

    Third terminal at Dar es Salaam airport

    Wakuu wote,napenda kuwaambai kwamba miradi yote mikubwa unayoisikia hapa nchini siyo endelevu na ina malengo fulani kwa watu fulani. Na pia hao wanaoipitisha ni watu waliopitwa na wakati maana watu hao hao ndio kila siku wanapishana kwenye viwanja vya ndege vilivyokwenda shule halafu...
  3. M

    Tujadili kuhusu matuta barabarani

    Wakuu naomba na mimi nichangie kidogo kuhusu hoja hii, kwanza ieleweke hiki kinachoitwa highway kimepoteza maana yake hapa Tz maana watu wamehamishia makazi kuwa kando kando za barabara na hata ukiangalia shule nyingi zimejengwa kando kidogo tuu ya barabara na makazi yanaendelea kujengwa kandoni...
Back
Top Bottom