Recent content by MwanaChemba East Zu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Marvel Cinematic Universe special thread

    Muvi au ni katuni za wakubwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Endelea kupumzika kwa amani Ngwea

    Mimi na watoto wangu mpaaka wajukuu huyu Mwamba atabaki kuwa nembo yangu.Dakika moja huu wimbo mpaka leo sijui ni ubongo wa Namna gani ulitumika kuandaa haya mashairi.Ngwea ni msanii bora sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wana Chemba na Wana East Zu Dodoma

    Salamu ndugu zangu na wakubwa shikamooni. Kutokana na kifo cha Albert Mangewa na Mez B pia kiongozi Noorah hafanyi tena music sababu za familia. Wanachemba tuko wengi sana na tunaweza chama letu lifahamike Dunia nzima. Nashauri Dark Masta awe kiongozi wetu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    I am Subzero.Jamaa kanifurahisha Sana kwenye hii movies kwanza jamaa anapigana hatari na yuko fasta ata director alisema kwamba walikua wanamwambia apunguze speed ili warekodi vzr.Subzero kila akionekana lazima akinukishe
Back
Top Bottom