Recent content by mwanacc

  1. M

    JamiiForums Tanzania Adsense account inauzwa

    Japo maelezo yako tupige simu, ila kwa faida ya jukwaa, Naomba kujua unauza kwa shilingi ngapi za kitanzania
  2. M

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa Nape, Mwigulu na CCM yao kwa Wana-CHADEMA uwe fundisho kwa wengine!

    Sasa hapo kuna hoja au kioja tena kutoka kwa mtu anaetumainiwa kushika hatamu ktk chama, inawezekana wamechoka kwasabb pengn hawana kazi ya kuwapa kipato kikubwa hivi ulitaka ccm iwape mapesa ili mseme.....hali yao hiyo ni uthibitisho kuwa ccm hainunui wanachama kama mleta uzi alivyodai
  3. M

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa Nape, Mwigulu na CCM yao kwa Wana-CHADEMA uwe fundisho kwa wengine!

    Unadhalilisha Jina la nyerere kwa kuandka uongo wa kitoto kama huu, nimekudharau bure.... Halafu kama chadema inajivunia vijana kama wewe basi kweli chadema imefilisika
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Njooni na Majibu ya Kuhujumiwa na CCM na Usalama wa Taifa vinginevyo Mnajidhalilisha

    Haya nyie wenye IQ kubwa ambao mmeambiwa chadema ni mpango wa mungu na mkakubali
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Njooni na Majibu ya Kuhujumiwa na CCM na Usalama wa Taifa vinginevyo Mnajidhalilisha

    Siku gani mkuu na uchaguz ndo huo unabisha hodi kama ushahidi upo uwekwe hadharan na ukizingatia kuwa serikal haitaki kuunda iyo tume ya kimahakama(kwa maelezo yako). Ninavyoijua chadema kwa mihemuko waliyokuwa nayo wangekuwa na ushahidi wangekwishakurupuka na kuropoka, tunajua 2015 mtakataa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Njooni na Majibu ya Kuhujumiwa na CCM na Usalama wa Taifa vinginevyo Mnajidhalilisha

    Fani inasadifu maudhui, angalia id yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Njooni na Majibu ya Kuhujumiwa na CCM na Usalama wa Taifa vinginevyo Mnajidhalilisha

    Naomba uthibitisho kuwa chadema ni mpango wa mungu.... Pia si vyema kuwahukumu wengne kwa kuwaita mashetani ayo tumuachie mungu yeye ndo anajua ya siri na dhahiri coz hao unaodhani ni wema (mbowe, slaa n.k) sidhan kama unajua siri zao. Ushauri tu.... Tujenge hoja za kisayansi na sio kutuletea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

    Nani kaibiwa?!.... nasubiri wale wa kuibiwa wajitokeze
  9. M

    JamiiForums Tanzania Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

    Kwa Bum Bum Davido safar hii lazima akae....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

    Booking info: Diamondplatinumz@gmail.com Jamaa katisha ngoma zote mbili..... Na nyie ambao mmeathiriwa na ukoloni(hamkubali vya nyumbani) polen sana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mamluki: Hoja nyepesi ya kuua demokrasia ndani ya vyama

    Swadakta! Na hili ndo tatizo la wapinzan hasa chadema ukiwakosoa wanakwambia mbona ccm wanafanya hivi.... Basi haina maana ya chadema kuwepo km mnacopy na kupaste ktk ccm
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Umaarufu wa Mh.Zitto umeshuka kwa 75%

    Huu Uzi ni proof tosha kuwa zitto bado yupo juu... Time will tell
  13. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

    Nataman uchaguzi mkuu ufike, tuheshimiane
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yona: CHADEMA wameshindwa kujenga GHOROFA kwa RUZUKU ya chama, CUF wameweza

    Mbowe bado hajamaliza kujilipa deni lake,
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama jiandae kupokea maandamano ya CHADEMA - Mnyika

    Haka kamnyika kameishiwa, Jimbo limemshinda kutwa kelele....siku zake zinahesabika, By the way mshaurini atafute mke kabisa kama Nassari coz baada ya 2015 atakuwa hana hela ya kuoa....
Back
Top Bottom