Inasikitisha sana, najaribu kifikiri harafu nagindua kuwa uhai wa raisi na watu wa msafarawake ni wathamani kiliko mtu mwingine. kanuni ni zamuhi zaidi ya maisha yasiyopatikana baada ya kipote. ok, ni mawazo yangu tu.
Maranyingi wazazi wamekuwa wakiwapa watotowao majina kutokana na matukio au mazingira yaliyokuwa yakiwazunguka wakati wanajifungua,inaweza kuwa ina maana lakini nikweli kwamba majina yanaathari katika maisha ya muhusika. hivyo ni muhimu kuwa makini najinaunalotaka kumpamtoto hatakamaunataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.