JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Maneno ya Baba
siku zote mkeo ni rafiki yako wa ndani na mwenzako, katika muungano wa hiyari, na una weza kuwa na mwisho wake ikiwa yatakiukwa masharti ya mkataba huo, hapo sasa maana ya baba utaipata KUWA MKEO SI NDUGU YAKO, kwani baada ya kuundoka kwako atarudi kwa ndugu zake na wewe utabaki na ndugu zako...