Recent content by mwana mbwego

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

    hakika mama mtendaji na wanakibamba wanalijua.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

    maendeleeeeo,fenella
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

    kuijadili ukawa ni kupoteza muda na wao wanajua kuwa hawana uwezo wa kushinda. sema wanashindwa kuwaambia vijana ukweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

    watu wanashindwa kuelewa kuwa ccm ni chama kilichoweka mizizi kuanzia ngazi ya shina mpaka juu huku. ukawa wanajidanganya tena uongo wa asubuhi kabisa. Na nina uhakika kuwa tutashinda kwa kishindo kikubwa kabisa. Magufuli ndie raisi wa awamu ya tano
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya Dr. Magufuli, Dar es Salaam (Kigamboni, Mbagala, Temeke, Ubungo, Kinondoni)

    tunashukuru mungu vijana wanazidi kufuta ujinga. maana kubaki ukawa ni ujinga tena na ulimbukeni mkubwa
Back
Top Bottom