Recent content by Mwana malundi

  1. Mwana malundi

    JamiiForums Tujikumbushe vita vya pili vya dunia, vitu 15 vya kustaajabisha

    duuh vita habari nyingine asee
  2. Mwana malundi

    JamiiForums Nashangazwa na tabia ya Dr. Mengi ya kuwaita walemavu kila mwaka

    wabongo nowma sana aisee hakuna jambo ulifanye liwe jema kwao duuh...
  3. Mwana malundi

    JamiiForums Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    shukrani kwa tafsiri [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  4. Mwana malundi

    JamiiForums Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Ingine hii hapa Naota napanda mlima mrefu kwa shida sana kama nataka kuanguka yaani nipo hatarini kweli kweli nikiangalia chini mbalii mala ghafra naamka huku moyo ukienda mbio sana ...nisaidieni tafsiri yake wandugu..
  5. Mwana malundi

    JamiiForums Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Saafi... Mara nyingi sana naota napaa kama ndege muda ungine nakua nakimbizwa nikianza kukimbizwa tu napaa au hata muda ungine bila kukimbizwa najikuta napaa kama nimeota mbawa hii ina maana gani wandugu...
  6. Mwana malundi

    JamiiForums Tabia 6 za matajiri duniani, ukizifuata utakuwa tajiri 100%

    hawa jamaa ni wabahili sana so kipengele namba 5 mmh hapana..
Back
Top Bottom