Ahukumiwa Miaka 30 Kwa Jaribio La Kumbaka Mpenzi Wake

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
MAHAKAMA ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu mkazi wa Mtaa wa Mpanda Hoteli, Manispaa ya Mpanda, Frank Jonas (27) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutaka kumbaka binti wa miaka 17 .

Baada ya hukumu hiyo, baadhi ya watu walioshuhudia hukumu hiyo walihamasika na kudai hawakujua kama kosa la kutaka kubaka linaweza kumfunga mtu miaka 30 jela.

Hakimu Ntengwa alitoa hukumu hiyo baada ya mshtakiwa kukiri kutenda kosa lake hilo.

Awali, kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Ongela Malifimbo, alidai kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 9, mwaka huu, saa 8:00 mchana katika eneo la shule ya Sekondari Mwangaza mjini Mpanda.

Ilidaiwa siku ya tukio mshtakiwa alimvizia msichana huyo wakati alipokuwa akipita katika eneo hilo kisha akamburuta kwenye nyasi ndefu kwa nia ya kumbaka.

Mwendesha Mashitaka huyo, alieleza mahakamani hapo kuwa baada ya kumburuza mpenzi wake huyo kwenye nyasi hizo ndefu, alimchojoa kwa nguvu nguo zake, kisha alimlalia juu ya kifua chake huku msichana huyo akipiga mayowe ya kuomba msaada.

Alieleza watu waliokuwa karibu na eneo hilo baada ya kuwa wamesikia mayowe hayo na walifika kwenye eneo hilo la tukio, ambapo walikuta Jonas akiwa amemlalia kifuani msichana huyo huku akihangaika kumchojoa nguo za ndani.

Ilidaiwa kuwa watu hao, walilazimika kumchomoa kwa nguvu juu ya kifua cha msichana huyo huku mtuhumiwa akiwa anawasihi wamuachie kwani anamfanyia hivyo kwa vile ni mpenzi wake ambaye alikuwa amekula fedha zake.

Hata hivyo, walimwondoa kwa nguvu kumpeleka kwenye kituo cha Polisi cha Mpanda huku akiwa hajatimiza lengo lake la kumbaka msichana huyo. Katika utetezi wake mshitakiwa aliiomba mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa alifanya hivyo kwa vile msichana huyo alikuwa ni mpenzi wake na alikuwa amekula fedha zake.

Maombi hayo yalipingwa na mwanasheria wa Serikali kwa kile alichodai kuwa hata kama alikuwa ni mpenzi wake hakutakiwa kutaka kumbaka.

Chanzo: Mpekuzi blog
 
Hiyo ni hukumu ya kishenzi na kikatili kupindukia, taifa lenye laana maisha yenye laana, hakubaka alitaka kubaka, aisee Mungu hawezi ibariki hii nchi hata iweje, kwa hiyo mtu aliyetaka kuua Naye ahukumiwe kunyongwa wakati hajaua? sheria gani hiyo ya kikatili? wakate rufaa watashinda.
 
Daaaaaaa namwonea huruma akitoka jela ana 57age,,,angeendanae taratibu tuu huyo msichana angekubali baadae anaonekana bado bikra,,ndio maana aligoma kutoa mzigo,,,too bad kwakwel pesa zimeliwa mzgo umekosa jela 30years,,, unawekeza pesa kwa under18 afu unakuwa na haraka ya kula mzgo
 
Sifagilii hata kidogo vitendo vya ubakaji lakini hii kesi ina mushkeli. Tanzania pia inatakiwa kuangalia kwa makini sheria hii as wakati mwingine inaweza kuwa ngumu sana kati ya first act na rape. All in all, men you have to be very very careful! Vijana wanapaswa kuelezwa sheria hii ili waielewe na madhara yake wakati huo huo Serekali iambiwe ii-analyse upya!
 
Ninavyoona hiyo kesi ni kuwa jamaa alikuwa anamhonga binti, binti anachukua hela lakini utamu hataki kutoa. Ndipo jamaa akaamua kuchukua chake mapema. Wadada wa hivyo wapo wengi mjini, unakuta mdada anajamaa yake, lakin kachoka-hana hela. Hapo hapo binti anapenda vinono na vizuri kama tight jeans, n.k. Hapo ndipo wengi huwageukia wadhamini, japo kishingo upande.

Kutaka kubaka ni kosa na alichofanya jamaa ni kosa. Tena mbaya zaidi kakiri. yeye angesema tu yule ni mpenzi wake na angeoonyesha ushahid kuwa amekuwa akimpa pesa (mfano miamala ya m-pesa) na angesema kuwa alidhani mpenzi wake anatania wakati anapiga kelele. All the court want is 'reasonable doubt' that a crime/offense was committed.
 
Daaaaaaa namwonea huruma akitoka jela ana 57age,,,angeendanae taratibu tuu huyo msichana angekubali baadae anaonekana bado bikra,,ndio maana aligoma kutoa mzigo,,,too bad kwakwel pesa zimeliwa mzgo umekosa jela 30years,,, unawekeza pesa kwa under18 afu unakuwa na haraka ya kula mzgo

Atakuwa na 57 - 15 = 42
 
Hiyo ni hukumu ya kishenzi na kikatili kupindukia, taifa lenye laana maisha yenye laana, hakubaka alitaka kubaka, aisee Mungu hawezi ibariki hii nchi hata iweje, kwa hiyo mtu aliyetaka kuua Naye ahukumiwe kunyongwa wakati hajaua? sheria gani hiyo ya kikatili? wakate rufaa watashinda.
Soma sospa mkuu au sheria ya makosa ya jinai inasema kubaka au jaribio la kutaka kubaka kifungo chake ni miaka 30 jera, apo hamna cha laana kwa nchi wala kwa watu ni hukumu sahihi kulingana na sheria isemavyo na kutokujua sheria sio kigezo cha kumfanya mtu asiyiwe hatiani, na kwa sasa sospa imepanua uwanda wa kosa la ubakaji hadi kwa wanandoa
 
Hukumu dizaini km haipo okay,,wajuvi wa sheria watupe ufafanuzi aisee,,, hukumu kubwa mno wakati alikusudia but hajafanikiwa kumuingiza tupu yake
 
Jaribio la kutaka kubaka adhabu yake ni sawa na ile ya kubaka mkuu hivyo hukumu ipo sawa kulingana na sheria isemavyo
 
Back
Top Bottom